Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Hanatafuta pesa kwanza..
 
Nothing wrong kabisa hapa na wewe mtoa hoja kuingiza udini hapo nimekuona ni wa ovyo kabisa, President Samia ni mwislamu (Imani yake)mimi ni mwabudu mizimu yangu (ni haki yangu),but President ni wa wote watanzania regardless Imani zao,never ever uingize udini kwenye issue kama hizi za wote, unataka kuniambia kuwa Waislamu ndio wanalea wenye tabia nzuri tu?,President Samia endelea kufanya kazi ni hii clip hakuna kibaya hapo!
 
What if Rais wa Msumbiji ana ugonjwa wa ini (Hepatitis B)?


What if Rais wa Msumbiji akaanza kuumwa let say wabaya wake wakamtenda vibaya huko msumbiji, si itaonekana sisi ndo tumemtenda?
Kwani mama na yeye hakuinywa hiyo juice?
 
Huyo ni mke wa mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…