Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Kitendo cha Kumnyeshwa Mwanaume Juice kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Mabeberu wanasemaje
 
Uko sahihi kabisa. Ilikuwa issue ya ku cross check usalama wake.
Mkuu kwa ishu ya vinywaji kama hiyo rais wa marekani Clinton alipokuja bongo pale alipoketi paliwekwa chupa ndogo ya maji ya kilimanjaro, lakini wajuba walikuja kuyachomoa na kumwekea kopo la cocacola. Kwa hiyo wasaidizi wake wangetumia hii tekniki ya wamarekani badala ya hii aliyotumia imekuwa kama ina mlolongo mrefu na inaweza kuzua hisia.​
 
Back
Top Bottom