vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Mbona wazungu hadi wanakiss?
Mama alimnywesha juisi ila rais wa Msumbiji alikuwa na Champaign ambayo ni kilevi ndo maana hakumnywesha. Kila baada ya hotuba ya Dhifa na tumeona mara nyingi lazima wageni waalikwa wanyweshane kinywaji kwa afya. Tusilete maneno ya kiuchonganishi na kujifanya hamjatembea wala kwenda kwenye dhifa zozote. Kama hamjafanya vyovyote hivyo bora mnyamaze.
Mbona mmeona watu wanacheza miziki humu mbona hilo hamlisemi. Mpende msimpende Samia yupo na atakuwepo mpaka atakapong'atuka muda wake ukifika.