Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Watu wengi hawajaelea maana ya hyo video mam pale kaupiga mwingii mnk alipewa juice isoyofanan kbsa na watu wengine akaona Yanini Nijifie Pekee angu akabidi pale amnyweshe nyusi Kama Ni kufa wafe wote dadeki mam kaupiga mwingi
 
Sijui tunaangalia kwa makini nilivyoona Glass ilibadilishwa ila mchukua video nakutaka kutuonesha
Glasi ilibadilishwa na akapewa nyingine, angalia mkono wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani akipokea Glasi nyingine kijasusi zaidi, watu wanachangia tu maana Kasi ya mh Rais wetu kuwatumikia watanzania ilishawavuruga baada ya ubabaishaji wao kufika kikomo, kazi iendeleee
 
Watu wengi hawajaelea maana ya hyo video mam pale kaupiga mwingii mnk alipewa juice isoyofanan kbsa na watu wengine akaona Yan. Nijifie Pekee angu akabidi pale amnyweshe nyusi Kama Ni kufa wafe wato dadeki mam kaupiga mwingi
Hahaha unaakili sana yani mama ameona isiwe tabu na iko kitendo ni cha kawaida sana
 
Watu wengi hawajaelea maana ya hyo video mam pale kaupiga mwingii mnk alipewa juice isoyofanan kbsa na watu wengine akaona Yan. Nijifie Pekee angu akabidi pale amnyweshe nyusi Kama Ni kufa wafe wato dadeki mam kaupiga mwingi
Haya wote kwa pamoja tuseme...Mama anaupga mwingi.
 
Nataka elewa, Yani kamnywesha na kikombe chake and that means are sharing a cup?
Achana na huyo mpotoshaji aliyeandika kiupotoshaji na kimhemuko kudanganya watu hapa, mh Rais wetu hajatumia glasi aliyonywea mwenyeji wake bali alibadilishiwa nyingine na wasaidizi wake walioiva katika suala Zima la usalama wa mh Rais wetu
 
shooketh-computer.gif
 
Wasukuma waislam wapo ukanda wa igunga,nzega,tinde na shinga mjini walienda Zanzibar wakarudi na uislam na wahamiaji waarabu na wasomali walipeleka uislam kwa kiasi chake

Wasukuma wengi wa vijijini hawazingatii dini

Nimesema mikoa ambayo ina majority christian hawazaliani sana labda pengine ya kuoa mke mmoja na kufuata uzazi wa mpango
Wasukuma ni waislamu? Maana hao tu wanazaliana sana kuliko makabila yote nchini

Watu wa vijijini wanazaliana sana na hivyo vijiji uislamu haujafika.

Fanya research
 
Wa TZ tuwe serious jamani. Yani ziara nzima ya mama yetu huko Msumbiji imekuwa reduced to nothing kwa hicho kitendo tu?
Watu badala ya kujadili vitu vya msingi ambavyo mama ameenda kutafuta wanaleta siasa za kipuuzi wakati mama ameenda kukuza biashara, kilimo, ulinzi na usalama, elimu na lugha ya Kiswahili kati ya Tanzania na Msumbiji
 
Hapana
Watu wengi hawajaelea maana ya hyo video mam pale kaupiga mwingii mnk alipewa juice isoyofanan kbsa na watu wengine akaona Yanini Nijifie Pekee angu akabidi pale amnyweshe nyusi Kama Ni kufa wafe wote dadeki mam kaupiga mwingi
Hapana siyo hivyo, Naomba uelewe kuwa mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Hakutumia Tena glasi aliyotumia mwenyeji wake kunywa Bali mh Rais wetu alipewa glasi nyingine na wasaidizi wake hapo mbele hatu chache ndio ukaona akinywa, watu hawajaangalia hapo kutokana na kuwa wengi huwa hawana umakini humu kufuatilia mambo na ndio maana unaona wengine wanachangia kana kwamba mh Rais wetu ametumia glasi aliyotumia kumnywesha mwenyeji wake

Mama anazidi kuipaisha nchi yetu kidiplomasia na kuzidi kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza hapa nchini, kazi iendeleee
 
Wasukuma waislam wapo ukanda wa igunga,nzega,tinde na shinga mjini walienda Zanzibar wakarudi na uislam na wahamiaji waarabu na wasomali walipeleka uislam kwa kiasi chake

Wasukuma wengi wa vijijini hawazingatii dini

Nimesema mikoa ambayo ina majority christian hawazaliani sana labda pengine ya kuoa mke mmoja na kufuata uzazi wa mpango

Uislamu umetangulia kufika Tanganyika kabla ya ukristo.. ila bado wakristo wamekuwa wengi huku dini ya kikristo ilichelewa kuja

Hata siku 1 haiwezi kutokea waislamu wakawaziid idadi wakristo.

Sababu kuu kwa wastani wa pato la familia waislamu wengi ni maskini wanakufa sana kwa kukosa hela za kuhudumia afya zao.

Pia wakristo japo hawazaliani sana ila ni wapo wengi kiidadi. Na ngumu mwanamke wa kikristo kuzaa na muislamu. Maana waislam wengi ni maskini ukitoa waislam wahindi na waislam wenye asili ya waarabu na waislamu wa zanzibar

Na hao hao wanawake wa kiislamu hasa hasa wasomi wa vyuo vikuu wanazalishwa sana na wakristo sababu waislamu wenzao hawana hela na wanawake wanapenda hela...

Waislamu wakitaka kuwazidi wakristo waanze na uchumi kwanza maana hela ndio kila kitu zama hizi..
 
Mi nimeona hiyo "Visit Tanzania" tu. Hayo mengine nimechukulia kama mzaha...

Ama kweli mnyama Simba anaonesha njia...
 
Salaam

Kitendo cha Kumnyesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Yule si ndie alikuwa ndani ya basi na Rais? Ina maana Rais alienda London na "Prince Phillip"?
 
Back
Top Bottom