Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

watu wakiambiwa wamama wakae home walee watoto huwa hawasikii wanashupaza mishipa ya shingo kuhubiri maazimio ya usawa wa jinsia wa Beijing.

Mpaka dunia inaisha haitokuja kutokea mwanaume kuwa sawa na mwanamke katika kufikiri na kutenda na blunders kama hizi za Bimkubwa ni evidence ya hilo kuwa mwanamke hawezi urais itakuwa anafanya blunders nyingi tu sema zingine itakuwa hazifiki kwa public. Mwanaume hujiangalia kwa kioo cha saluni mara moja kwa wiki au mwezi au mwaka , au asijiangalie kabisa hata five years, mwanamke hujiangalia kwa kioo chake mara kumi kwa kila dakika moja!! mwanaume huamua mara moja kuvaa nguo moja na kutoka ila mwanamke huchagua nguo zake kumi na kuzijaribu zote na kuvaa moja baada ya zoezi la one hour !! Acheni utani na urais wa mwanamke ni changamoto kubwa kwa nchi ya mfumo dume!

Mama hapa kwa hili amedhalilisha, ameliaibisha na amelikosea Taifa kupita kiwango labda ilitakiwa awaombe raia msamaha ila amemkosea zaidi mumewe kwa mujibu wa dini ya kiislam kwa kumnywesha pombe mwanaume mwingine kwenye public , kama mumewe yupo inabidi sheikh ahusike mama apige magoti amuombe radhi mumewe na alipe faini!

Video hii inayoleta kinyaa ina maana mama "has a mole" within , na kuna mahali panavuja! ni hivi katika watu anaoandamana nao ziarani kuna kundi lina "political motive" , kazi yao ni kutafuta madhaifu yake na kuja kumchafua kwa public! ni kazi ya TISS kutafuta hilo kundi na kulisafisha kisha kumsaka alierusha hiyo video inayoliaibisha taifa na kum "neutralize" kama TL . Huyo alierusha video hii ni wa kumdaka na kumbana atakuwa nyuma ya kigogo mwenye Agenda ya 2025! Ni kazi ya TISS kumsaka huyo kigogo mwenye nia ya urais na kumtuliza maana Bimkubwa anachafuliwa makusudi na kulichafua taifa TISS mpo wapi? Pia TISS wazuie upigaji picha kiholela kwenye ziara za Bimkubwa.

Quran inasema Amir ni mwanaume tu anaetumia ubongo kufikiri na kutenda maana mwanamke hutumia Moyo kufikiri na kutenda na balaa zake ndo hizi , pembe la ng'ombe halifichiki!

badilisheni katiba Rais akifa au kujiuzulu ufanyike uchaguzi sio kumsimika makamu kuwa Rais maana hilo lina risk ya makamu kumdondosha na kumlaza mavumbini Rais aliepigiwa kura ili akalie kiti kiulaini!

Wasukuma wanasema ni nuksi kuweka Chifu mwanamke!

Wenye akili tu wataelewa!

Anyway lets assume ilikuwaje udhaifu wa kibinadamu ambao kila mmoja wetu anao
 
Hii ni blunder ya hali ya juu sana, imeaibisha nchi, watu wa karibu naye wakae wamueleze, this is unacceptable and ashaming. Hiyo ni dhifa ya kitaifa.
 
Innalillah wainna ilaihiraj uun.
Hakika Allah ndio mjuzi zaidi wa yalio wazi na yaliyofichikana.
 
Attachments

  • B1A672DF-BC21-4ECB-87B5-632484858C18.jpeg
    B1A672DF-BC21-4ECB-87B5-632484858C18.jpeg
    29.7 KB · Views: 1
Salaam

Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365938
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Acheni kupoteza muda kujadili upuuzi wa huyu mama wa ccm,yaani badala ya kubaki UN kuhutubia,akaenda msumbiji kufanya vituko,actually sio kituko,lile tukio lilipangwa akijua kabisa sasa hv anashambuliwa sana nyumbani,akaona afanye bongo muvi Ili watu watoke kwenye reli badala ya kujadili upuuzi wa tozo,waanze kujadili vituko vyake,aliona hizo muvi hawezi kuzifanyia UN
 
1.) KORONA BADO IPO HATA ASKARI NYUMAYAO WAMEVAA BARAKOA, INAKUAJE KUGUSANISHA MATE NAMTU KIPINDI HIKI CHAHATARI??
2) Hii kitu kiprotokali hairuhusiwi hatakama unaonesha ukaribu mlionao lkn si kumnywesha rais wawatu kinywaji.
3.) Kwamila zetu Afrika mambo hayo hufanyiwa mzee baba au mtoto tuu sasa hapo imekaaje?
Relax mkuu, tatizo lipo kichwani kwako, wewe bado unawachukulia wanawake they belongs in the kitchen, huu ni upuuzi wa hali ya juu, President Samia yupo ok na elewa hawa ni binadamu kama sisi sio ni super humans being!
 
napenda kujua jinsia yako please kama hutajali
 
Acheni kupoteza muda kujadili upuuzi wa huyu mama wa ccm,yaani badala ya kubaki UN kuhutubia,akaenda msumbiji kufanya vituko,actually sio kituko,lile tukio lilipangwa akijua kabisa sasa hv anashambuliwa sana nyumbani,akaona afanye bongo muvi Ili watu watoke kwenye reli badala ya kujadili upuuzi wa tozo,waanze kujadili vituko vyake,aliona hizo muvi hawezi kuzifanyia UN
duh!
 
Salaam

Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365938
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Deep State wameridhia na kuruhusu Hilo lifanyike, hakuna state security threats hapo
 
Salaam

Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
View attachment 2365540
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
View attachment 2365938
View attachment 2365567
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.
Mama kadata kwa Konde Boy
 
Malkia wa nyuki huheshimishwa na mfalme pale anapohitaji mguso.
 
Pia lazima watu mnaochangia hapa muelewe kuwa baada ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani kumnywesha mwenyeji wake hakutumia hiyo glasi kunywa Tena Bali alipewa nyingine hapo mbele alipoelekea ,Angalia vizuri mkono wa mh Rais wetu aliyeiva na kuvivaa viatu vya Urais kisawasawa akipokea Glasi nyingine kutoka kwa wasaidizi wake ambao tumewapa dhamana ya kuhakikisha mh Rais wetu mpendwa anakuwa salama popote Alipo huku akilindwa na Mkono wa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema,

Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka
Hakika unastahili teuzi!
 
Back
Top Bottom