Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Kwa mliomfahamu Samia baada ya kumwona na ushungi ndio mnashangaa!! Enzi za samia havai ushungi akiwa kwenye NGOs zake huko tunamjua Samia si mtu wa maadili ya kiafrika, huyu mama ana uzungu mwingi uliopitiliza... hata huo mtandio anaovaa no baada ya wazee kumsihi sana avae ili apate kura za jimboni huko Zanzibar.

Zakhia Meghji hamfikii Samia Suluhu Hassan kwa uzungu.
Uko Sahihi kabisaa japo utabishiwa mnooo
 
Acha uongo wako na upotoshaji wako hapa wa kujifanya unamfahamu Rais wetu mpendwa kuliko sisi watanzania, acha na Koma kumchafua mh Rais wetu hapa, Tena Koma kabisa
We nawe kaaah [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naskia maza ana piga gambe kinoma yaan akishakula vitu vyake ndo hivyo kunaendaga
 
Relax mkuu, tatizo lipo kichwani kwako, wewe bado unawachukulia wanawake they belongs in the kitchen, huu ni upuuzi wa hali ya juu, President Samia yupo ok na elewa hawa ni binadamu kama sisi sio ni super humans
Mmmh!!
Huu ujinga uloandika unataka kueleza nini hasa??
 
Wewe akili yako Ni ndogo kwa hiyo huwezi elewa hata ukieleweshwa maana inaonyesha unamatatizo kichwani ndio maana siwezi kuanza kukuelezea Wala kukutukana maana nachoona ni kuwa unahitaji matibabu ya haraka sana
acha ucumer bas na wewe, kwa huyo mtu wa mwisho alienda kugonga cheers tu, angeweza vipi ku switch glasi akatoa kwa mkono wa kulia ndani ya sekunde moja akapokea nyingine kwa mkono huo huo wa kulia?
Kwanini usitafute namna nyingine ya kumtetea?
 
Kama alimnywesha Kisha akabadilishiwa glasi, alikuwa na Nia Gani na USALAMA wa Nyussi?

Hili Si jukwaa la watoto wadogo, tumia AKILI. Uongo uongo tu.
Bila Shaka bado wewe Ni mchanga katika masuala ya kimataifa na Ni mgeni kwa ulimwengu wa kidiplomasia
 
We jamaa tutolee upuuzi wako hapa poyoyo wa ajabu kabisa,
Hivi unajisikiaje unapoandika mashairi yako ya kipumbavu hapa
Huwezi ukaelewat kitu maana inaonyesha unafuata mkumbo wa wapotoshaji waliokuwa wanataka kufanya upotoshaji hapa
 
Uyu mama amenishangaza hata Mimi kwakweli maana Kuna mda alikua amevaa barakoa Sasa najiuliza kama ameweza kushea glasi na huyu mheshimiwa alivaa ya Nini au amemchanganyia koktail Ili amsainishe mkataba maana delilia ni Delila tuu at akiwa presdaa
Uwe unaelewa na usiwe Kama mtoto mdogo, wapi mh mama yetu alipochangia glasi? Tunakwambia kuwa hiyo glasi ilibadilishwa hapo?
 
Jambo hili watoke watolewe ufafanuzi, kama alibadilishiwa glasi baada ya kumnywesha wa msumbiji lazima ingeleta utata juu ya nn Hasa amemnywesha.
Nani atoe ufafanuzi kwa Jambo ambalo kila mtu ameona kuwa glasi ilibadilishwa, au unafikiri Kama wewe kwa akili yako iliona Ni glasi Ile Ile ndio imetumika unataka wote tuone Kama wewe, Tambua kuwa glasi ilibadilishwa na haikutumika Ile aliyotumia Rais wa msumbiji
 
Ukinizingua na mimi nitakuzingua. Semeni tu hamtaki Rais wetu awe na furaha
 
Mwacheni mama aenjoy bana, baadhi ya WaTZ huwa na wivu sana kwa viongozi ..Let her be ...Viva Mama
 
Nyusi kaonesha udhaifu mkubwa, Samia Mjanja sana, kwanza kabla hajanywa ile juice kamtwisha Rais wao naye kizembe akanywa kweli..duh..

Samia hapa nimekuelewa sana,hii kiusalama ilikaa safi sana..kama palikuwa na baya limpate Nyusi na ukiangalia mama ile juice hakunywa bali alizuga tu.

Pili hizi juice zilikuwa hazifanani ukizichunguza, na kaonesha ishara kwa mkono wa kushoto kuwa hii yako sinywi! Kama pangekuwepo na mtego hapa angekufa Nyusi kisa mahaba ahahaha
 
Back
Top Bottom