Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza.

Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa.

Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa CHADEMA zilianza kupoa si kwa sababu ya vitisho vya vyombo vya dola bali walitegemea siasa za Rais Samia zinaweza kuwa tofauti na siasa za Mwendazake.

Hali imekuwa more of the same, mambo yameanza kubadilika, mabadiliko haya naweza kusema yamechagizwa zaidi na ujio wa Mkataba wa Bandari.

Wananchi wanasema wazi kuwa hawakubaliani na uamuzi wa Rais, yeye na wapambe wake wanasema anatukanwa.

Rais (CCM) kwa kutumia vyombo vya dola wanataka kuonesha wao ndio walioshika mpini, wanaompinga wameanza kushughulikiwa kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Je, Samia ataziweza siasa za Mwendazake? Anao uhuru na uwezo wa kufunika kombe mwanahalamu apite ili amalizie kipindi chake.
 
Hizo siasa za mivutano mbona alizianza mapema tu, pale alipombambikia Mbowe kesi, aliyekuwa akiidai Katiba Mpya kaa nguvu, baada ya Samia kusikika akisema ukinipara nitakuparua.

Baada ya pale kelele za watu kudai Mbowe aachiwe huru zaidi ya miezi sita mfululizo ndizo zikamlainisha, akamtoa, na kumualika ikulu moja kwa moja akijua wazi alipogusa alikosea.

Baada ya hapo ndipo akaja na ile issue ya maridhiano, haya maridhiano aliyafanya akidhani wapinzani akiwemo Mbowe atawateka akili, hasa baada ya "kumtuliza" ikulu, kwamba hata akikosea mbele ya safari, hawatamgusa..

Bahati mbaya huu mkataba wa hovyo wa bandari umekuja kumvurugia kila kitu, sasa kazi kwake, naona uzalendo umeshaanza kumshinda, anawakabidhi hiyo kazi wakina Kingai ili wamsaidie kuwanyamazisha wanaozidai bandari zetu.

Sasa ngoja tuone, baada ya hii stage ya kwanza ya kuwaita na kuwahoji wala tusijue wanawaambia nini, watakuwepo waoga wataonyamaza, na wale wakaidi wataoendelea kuhoji, tuone next time watafanywa kitu gani na kina Kingai.
 
Hizo siasa za mivutano mbona alizianza mapema tu, pale alipombambikia Mbowe kesi, aliyekuwa akiidai Katiba Mpya kaa nguvu, baada ya Samia kusikika akisema ukinipara nitakuparua.

Baada ya pale kelele za watu kudai Mbowe aachiwe huru zaidi ya miezi sita mfululizo ndizo zikamlainisha, akamtoa, na kumualika ikulu moja kwa moja akijua wazi alipogusa alikosea.

Baada ya hapo ndio akaja na maridhiano, haya maridhiano aliyafanya akidhani wapinzani akiwemo Mbowe atawateka akili, kwamba hata akikosea mbele ya safari, hawatamgusa..

Bahati mbaya huu mkataba wa hovyo wa bandari umekuja kumvurugia kila kitu, sasa kazi kwake, naona uzalendo umeshaanza kumshinda, anawakabidhi kazi kina Kingai wamsaidie kuwanyamazisha wanaozidai bandari zetu.

Sasa ngoja tuone, baada ya hii stage ya kwanza kuwaita na kuwahoji wala tusijue wanawaambia nini, wapao waoga wanaonyamaza, na wale wakaidi wanaoendelea kuhoji tuone next time watafanywa kitu gani na kina Kingai.
Acha uongo, SSH hakumpa kesi Mbowe
 
Katika vitu ambavyo rais Samia alikosea ni kuita maridhiano wakati hapakuwa na kitu mgogoro kati ya serikali na wapinzani bali kulikuwa na ujinga kama wa sasa wa kupinga kila kitu. Yeye alipaswa aelewe kuwa wapinzani wao kazi yao ni kupinga, kutukana hivyo ni vizuri kuwafuta na kuleta upinzani mwingine wenye staha. Sasa angalia anabyotukanwa rais wetu Samia tena mwenye mamlaka ya kusema ondoa huyu na akaondoka eti anafananishwa na matopeeee, yaani rais na urais wa Tanzania ni matopeee, nadhani sasa ataelewa vizuri kwanini Dkt Magufuli alikuwa vile
Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza.

Alipoingia madarakani Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa.

Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa CHADEMA zilianza kupoa si kwa sababu ya vitisho vya vyombo vya dola bali walitegemea siasa za Rais Samia zinaweza kuwa tofauti na siasa za Mwendazake.

Hali imekuwa more of the same, imeanza kubadilika, mabadiliko haya naweza kusema yamechagizwa zaidi na ujio wa Mkataba wa Bandari.

Wananchi wameanza kusema wazi kuwa hawakubaliani na uamuzi wa Rais, yeye na wapambe wake wanasema anatukanwa.

Rais (CCM) kwa kutumia vyombo vya dola wanataka kuonesha wao ndio walioshika mpini, wanaompinga wameanza kushughulikiwa kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Je, Samia ataziweza siasa za Mwendazake au ndio zitachafua rekodi yake au atafunika kombe mwanahalamu apite ili amalizie kipindi chake?
 
Katika vitu ambavyo rais Samia alikosea ni kuita maridhiano wakati hapakuwa na kitu mgogoro kati ya serikali na wapinzani bali kulikuwa na ujinga kama wa sasa wa kupinga kila kitu. Yeye alipaswa aelewe kuwa wapinzani wao kazi yao ni kupinga, kutukana hivyo ni vizuri kuwafuta na kuleta upinzani mwingine wenye staha. Sasa angalia anabyotukanwa rais wetu Samia tena mwenye mamlaka ya kusema ondoa huyu na akaondoka eti anafananishwa na matopeeee, yaani rais na urais wa Tanzania ni matopeee, nadhani sasa ataelewa vizuri kwanini Dkt Magufuli alikuwa vile
Upinzani hauletwi na Rais kamwe bali huletwa na nafsi ya kila mtu mwenye akili timamu ya Kimungu(Mwanzo 1:26-27)
 
Utaufutaje upinzani kwa kuwaua?
 
Siasa ni hoja na mazungumzo.
Zitumike zaidi nguvu za hoja badala ya hoja za nguvu.
Wanaopigana na kuuana hovyo hovyo ni wanyama, binadamu hutumia kila linalowezekana kuondoa shari.
Uamuzi wa kupigana, kutesana na hata kuuana ni wa mwisho kabisa baada ya kuona maisha yako na wengine wengi yapo hatarini na hakuna njia nyingine ya kuepuka.
Wahenga walisema maneno matupu hayavunji mfupa. Busara itumike zaidi.
 
Katika vitu ambavyo rais Samia alikosea ni kuita maridhiano wakati hapakuwa na kitu mgogoro kati ya serikali na wapinzani bali kulikuwa na ujinga kama wa sasa wa kupinga kila kitu. Yeye alipaswa aelewe kuwa wapinzani wao kazi yao ni kupinga, kutukana hivyo ni vizuri kuwafuta na kuleta upinzani mwingine wenye staha. Sasa angalia anabyotukanwa rais wetu Samia tena mwenye mamlaka ya kusema ondoa huyu na akaondoka eti anafananishwa na matopeeee, yaani rais na urais wa Tanzania ni matopeee, nadhani sasa ataelewa vizuri kwanini Dkt Magufuli alikuwa vile
Ila sisiem mna akili za kijinga sana na mmejaa ukatili tu
 
Katika vitu ambavyo rais Samia alikosea ni kuita maridhiano wakati hapakuwa na kitu mgogoro kati ya serikali na wapinzani bali kulikuwa na ujinga kama wa sasa wa kupinga kila kitu. Yeye alipaswa aelewe kuwa wapinzani wao kazi yao ni kupinga, kutukana hivyo ni vizuri kuwafuta na kuleta upinzani mwingine wenye staha. Sasa angalia anabyotukanwa rais wetu Samia tena mwenye mamlaka ya kusema ondoa huyu na akaondoka eti anafananishwa na matopeeee, yaani rais na urais wa Tanzania ni matopeee, nadhani sasa ataelewa vizuri kwanini Dkt Magufuli alikuwa vile
Upinzani hauletwi na Rais kamwe bali huletwa na nafsi ya kila mtu mwenye akili timamu ya Kimungu(Mwanzo 1:26-27)
 
Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza.

Alipoingia madarakani Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa.

Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa CHADEMA zilianza kupoa si kwa sababu ya vitisho vya vyombo vya dola bali walitegemea siasa za Rais Samia zinaweza kuwa tofauti na siasa za Mwendazake.

Hali imekuwa more of the same, imeanza kubadilika, mabadiliko haya naweza kusema yamechagizwa zaidi na ujio wa Mkataba wa Bandari.

Wananchi wameanza kusema wazi kuwa hawakubaliani na uamuzi wa Rais, yeye na wapambe wake wanasema anatukanwa.

Rais (CCM) kwa kutumia vyombo vya dola wanataka kuonesha wao ndio walioshika mpini, wanaompinga wameanza kushughulikiwa kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Je, Samia ataziweza siasa za Mwendazake? Anao uhuru na uwezo wa kufunika kombe mwanahalamu apite ili amalizie kipindi chake.
Mkuu maCCM wote tabia zao zinafanana. Wanafanana na huyu nyani. Hawatosheki na wala hawajibi au kuridhika na walicho nacho. Kila siku wanatamani kuuza rasilimali za taifa kwa maslahi yao finyu ya kujaza matumbo yasiyoshiba kamwe.

Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza.

Alipoingia madarakani Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa.

Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa CHADEMA zilianza kupoa si kwa sababu ya vitisho vya vyombo vya dola bali walitegemea siasa za Rais Samia zinaweza kuwa tofauti na siasa za Mwendazake.

Hali imekuwa more of the same, imeanza kubadilika, mabadiliko haya naweza kusema yamechagizwa zaidi na ujio wa Mkataba wa Bandari.

Wananchi wameanza kusema wazi kuwa hawakubaliani na uamuzi wa Rais, yeye na wapambe wake wanasema anatukanwa.

Rais (CCM) kwa kutumia vyombo vya dola wanataka kuonesha wao ndio walioshika mpini, wanaompinga wameanza kushughulikiwa kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Je, Samia ataziweza siasa za Mwendazake? Anao uhuru na uwezo wa kufunika kombe mwanahalamu apite ili amalizie kipindi chake.
Samia amekosea pakubwa na itamgharimu kwenye sifa yake pamoja na kwamba atashinda uchaguzi kwa nguvu ya dola.
 
Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza.

Alipoingia madarakani Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa.

Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa CHADEMA zilianza kupoa si kwa sababu ya vitisho vya vyombo vya dola bali walitegemea siasa za Rais Samia zinaweza kuwa tofauti na siasa za Mwendazake.

Hali imekuwa more of the same, imeanza kubadilika, mabadiliko haya naweza kusema yamechagizwa zaidi na ujio wa Mkataba wa Bandari.

Wananchi wameanza kusema wazi kuwa hawakubaliani na uamuzi wa Rais, yeye na wapambe wake wanasema anatukanwa.

Rais (CCM) kwa kutumia vyombo vya dola wanataka kuonesha wao ndio walioshika mpini, wanaompinga wameanza kushughulikiwa kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.

Je, Samia ataziweza siasa za Mwendazake? Anao uhuru na uwezo wa kufunika kombe mwanahalamu apite ili amalizie kipindi chake.
Chadema wamekosa ustaarabu hivyo ni lazima kula nao sahani moja tu
 
Back
Top Bottom