Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

Kicha mada kinavutia kweli ila sasa ndugu ulicho weka kwenye content kimekua cha ajabu. Sio vibaya ukiandika upya na kuweka mizania sawa
Ishu hapa ni mkataba wa bandari mkuu ana hiyari ya kuukataa au azibe masikio.
 
Polisi ni wa bara, JW wa bara Mali zinazouzwa ni Za bara.

Niliowataja hapo Juu wanalipwa mishahara na wa bara sasa kazi yao ni ipi?
Muuza Mali katokea pengine ,
 
Ishu hapa ni mkataba wa bandari mkuu ana hiyari ya kuukataa au azibe masikio.
Makubaliano ya ubia wa kuendeleza na kuendesha bandari kati ya DP World na TPA ni bora sana na faida kubwa kwa Tanzania. Hao wanao pinga ni wajibu wao kupinga kwani walipinga mengi ambayo leo wanatumia
 
Back
Top Bottom