Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 22,227 Reaction score 49,628 Jul 21, 2023 Thread starter #121 Bishweko said: Kicha mada kinavutia kweli ila sasa ndugu ulicho weka kwenye content kimekua cha ajabu. Sio vibaya ukiandika upya na kuweka mizania sawa Click to expand... Ishu hapa ni mkataba wa bandari mkuu ana hiyari ya kuukataa au azibe masikio.
Bishweko said: Kicha mada kinavutia kweli ila sasa ndugu ulicho weka kwenye content kimekua cha ajabu. Sio vibaya ukiandika upya na kuweka mizania sawa Click to expand... Ishu hapa ni mkataba wa bandari mkuu ana hiyari ya kuukataa au azibe masikio.
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Jul 21, 2023 #122 Polisi ni wa bara, JW wa bara Mali zinazouzwa ni Za bara. Niliowataja hapo Juu wanalipwa mishahara na wa bara sasa kazi yao ni ipi? Muuza Mali katokea pengine ,
Polisi ni wa bara, JW wa bara Mali zinazouzwa ni Za bara. Niliowataja hapo Juu wanalipwa mishahara na wa bara sasa kazi yao ni ipi? Muuza Mali katokea pengine ,
Bishweko JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 3,406 Reaction score 2,521 Jul 21, 2023 #123 Quinine said: Ishu hapa ni mkataba wa bandari mkuu ana hiyari ya kuukataa au azibe masikio. Click to expand... Makubaliano ya ubia wa kuendeleza na kuendesha bandari kati ya DP World na TPA ni bora sana na faida kubwa kwa Tanzania. Hao wanao pinga ni wajibu wao kupinga kwani walipinga mengi ambayo leo wanatumia
Quinine said: Ishu hapa ni mkataba wa bandari mkuu ana hiyari ya kuukataa au azibe masikio. Click to expand... Makubaliano ya ubia wa kuendeleza na kuendesha bandari kati ya DP World na TPA ni bora sana na faida kubwa kwa Tanzania. Hao wanao pinga ni wajibu wao kupinga kwani walipinga mengi ambayo leo wanatumia
Q Quinine JF-Expert Member Joined Jul 26, 2010 Posts 22,227 Reaction score 49,628 Aug 2, 2023 Thread starter #124 Muju4 said: Mama hawezi dhulumu nafsi ya mtu, ni Muislam safi. Click to expand... Kufumbia macho dhulmat wakati una nafasi ya kuzuia ni sawa na kushiriki dhulma.
Muju4 said: Mama hawezi dhulumu nafsi ya mtu, ni Muislam safi. Click to expand... Kufumbia macho dhulmat wakati una nafasi ya kuzuia ni sawa na kushiriki dhulma.