SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
Wapuyukaji, mmekatazwa, jibuni kwa hoja badala ya Uhasama.
Mkuu Kaanena.
Mkuu Kaanena.
Mazingira,alitaka kufanya na kwenye movie,ikawa ghaliAlimtengenezea mazingira au alikuwa anaimba kwa niamba ya Mondi?
TCRA kuna madini hukuBaadhi ya wadau wamefanikiwa kutengeneza ajira na vyanzo vya kipato Hadi nje ya nchi lakini sasa changamoto kubwa ipo katika ktk serikali kufumbia macho suala zima la kutengeneza mazingira rafiki linapikuja suala la malipo/miamala ya kipesa ya mtandaoni.
Mwaka wa ngapi huu tunaililia serikali hii juu ya kufanya mchakato wa kuwezesha huduma za PayPal, Payoneer nk ziwe zinapatikana kiurahisi nchini?
Haya sasa Mh. Raisi kashatoa kauli ya kutuonyesha njia. Watunga sera na viongozi husika katika masuala ya kifedha, TRCA nk tengenezeni mazingira salama na rafiki ili wananchi wapate pia kunufaika na biashara na utoaji huduma wa kimaitafa
cc Nafaka GENTAMYCIME Bujibuji Simba Nyamaume
Nanyi chawa wa uvccm mkajiajiri sio kutwa mnalilia uteuziMh Rais kaongea ukweli