The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa hiyo Samia ndio aje awatafutie Kazi auKuna watu wengi sana hawana ajira mtaani, kuanzia vijana mpaka wazee.
Kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa wasomi.
Hivi hakuna kampuni au namna yoyote ile inaweza kufanywa na watu au mtu mwenye uwezo akawatumia hawa watu wasio na ajira?
Watu wasio na ajira ni wengi sana, hakuna namna ya kuwatumia watu hawa kutengeneza pesa?