The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa hiyo Samia ndio aje awatafutie Kazi auKuna watu wengi sana hawana ajira mtaani, kuanzia vijana mpaka wazee.
Kuanzia wasomi mpaka wasiokuwa wasomi.
Hivi hakuna kampuni au namna yoyote ile inaweza kufanywa na watu au mtu mwenye uwezo akawatumia hawa watu wasio na ajira?
Watu wasio na ajira ni wengi sana, hakuna namna ya kuwatumia watu hawa kutengeneza pesa?
Benefits za Ndugai ni hizi-Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
[emoji1787][emoji1787]Bavicha watashangilia sana! Maana kauli hiyo inamhusu Ndugai
Kwani amestaafu ??? Ulipaji una taratibu zake.Benefits za Ndugai ni hizi-
*80% ya mshahara wa Spika mpaka kufa kwake!
*VXV8 linakuwa lake
*Analipiwa dereva mpaka kifo
*Lita 70 kila wiki
*Anapewa ulinzi mpaka mauti
*Bado atapata kiinua mgongo kama Mbunge!
Halafu Bado unasema kauli hiyo inamuhusu Ndugai,pumbav kabisa!
Kwa hiyo Samia ndio aje awatafutie Kazi au
biblia haijasema asiyefanya kazi imesema ASIYETAKA KUFANYA KAZI uwe unasoma vizuri. Kuna mtu anataka afanye kazi lakini kazi inakosekana. Kuna siku mtu unaweza ukatafuta hapa palipo na zege ushiriki na ukakosa.Asiyefanya kazi asile by Biblia
Lakini siyo kwamba asiye na ajira asile.
We vp?Ukishakuwa Spika tu basi unaingia kwenye Hilo kundi Moja Kwa Moja!Au umesahau Lowassa alivyojiuzulu lakini Mpaka Leo anavuta mpunga wa Serikali ?Kwani amestaafu ??? Ulipaji una taratibu zake.
Sawa kama una ndugu yako endelea kumfuga ,kuna ajira Samia atawapaWewe naye unakuwa kama dada, wapi nimesema samia awatafutie kwazi?
Nimesema kuna watu wengi hawana ajira, na nikasema hakuna namna ya kuwatumia hao watu wasio na ajira kutengeneza pesa?
Cha ajabu unaleta umama.
Isitoshe unaposema eti " samia awatafutie kazi"
Ndiyo samia lazima awatufutie kazi, kwa sababu amevunja vibanda walivyokuwa wanavitumia kuingiza kipato.