Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"
Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia changamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Sikiliza sehemu ya hotuba yake kuhusu Vijana na Kazi:
View attachment 2072394
Ukweli ni kwamba amechoka wala hata haelewi analoongea ni vema angeomba msaada wa kuelimishwa afanye nini kuwapatia vijana fursa za kujiajiri na namna gani anaweza kuwapatia mitaji ya kujiajiri. Wale washauri wake muelimisheni jamani laa sivyo hii nafasi pia itangazwe ipo waziRais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"
Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia changamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Sikiliza sehemu ya hotuba yake kuhusu Vijana na Kazi:
View attachment 2072394
Hahahahahah hapo kuna mawili! Udangaji ama ubakajiNa machinga wenyewe wamebomolewa vibanda.
Sasa sijui wanataka tuwe vibaka au tuwe wadangaji😂😂😂
Tatizo mtaji. Hata kulima yenyewe lazima ununue mbegu. Mbolea bei juu.Rais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"
Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia changamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Sikiliza sehemu ya hotuba yake kuhusu Vijana na Kazi:
View attachment 2072394
Sasa uko kwenye JF kutwa una post uta export vipi pamba na katani? Toka hapo sebuleni kwa shemeji yako nenda Kibaigwa, Sumbawanga, Mbozi, Tunduma, Longido, Rombo uone vijana wanavyochemka.Huwasaidii kwa kufanya hivyo utaonekana mpumbavu tu! The government has to show the way forward..Kama ni kupitia kilimo yatafutwe masoko yatakayopokea produce toka kwetu.
Estates zianzishwe na serikali watu wazalishe kama ni sukari ama mazao mengine yenye high demand in tonnes watu walime milango ya export iwe wazi ni ku conform na standards tu.
Masoko makubwa ma 4 au 5 yatabadilisha hali ya maisha ya graduates. Facilitation ya serikali ni muhimu kwa kufanikisha hilo sio kujiropokea tu upuuzi...Kulikwaga na Pamba na katani na watu walizalisha wakaishi vyema tu by that time.
Serikali isijondoe kwenye lawaMa katika hili hata kidogo its to be blamed inside out! Haijatekeleza wajibu wake vizuri. Wenzetu palipoendelea huko welfare ya wananchi ndio kazi kuu ya serikali. Huku watu wanagombania vyeo tu bila aibu.
Tutaenda kukaba maana hakuna namna sasa..[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah hapo kuna mawili! Udangaji ama ubakaji
[emoji23][emoji23]Ajiuzulu urais aje tutafute nae kazi aone kama zipo kweli.
Hapo sasaMbona watoto wao wanawapatia ajira za serikalini?
Hahahahahah nayo ni fursa tatizo hamjiongeziTutaenda kukaba maana hakuna namna sasa..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuelewai kabisaRais Samia amesema Vijana wengi wanasubiri Ajira wanapomaliza kusoma, lakini hawahangaiki kutafuta fursa za kazi. Ameeleza, "Kazi zipo nyingi Tanzania, ni Vijana kuchakarika, kuziona hizo fursa na kuanza kuzitumia"
Ametoa rai hiyo leo Januari 07, 2022 wakati akishiriki Maadhimisho ya Kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Amesisitiza, "Naombeni kaangalieni fursa za kazi. Fursa zipo nyingi na ni aibu kijana kukaa bila kazi"
Ameongeza, "Na hapa nitazungumzia changamoto inayofuata ambayo ni nyie Vijana kutokujua au kutotumia fursa zilizopo. Hamzitumii kabisa! Niwaombe sana Vijana, kuna fursa nyingi. Piteni Vyuoni mtaelekezwa jinsi ya kuziona fursa hizo"
Kuhusu changamoto ya Mitaji kwa Vijana amesema kuna Fedha za Halmashauri na Mifuko kadhaa ambayo inatoa Mikopo kwa Vijana imeanzishwa, lakini bado haijatosheleza kutokana na idadi kubwa ya Vijana
Sikiliza sehemu ya hotuba yake kuhusu Vijana na Kazi:
View attachment 2072394
Inabidi aje kutuonyesha mfano.Hahahahahah nayo ni fursa tatizo hamjiongezi
Ajikute tu anakuja kitaa atapagawa hata ushungi anaweza akasahau kuvaaNaona hapo Mwisho ukamalizia na maneno ya motivational speaker.
Kwani maza yeye akiona watu wanasogelea urais wake hapo 2025 anakua mkali Sana,si aachane na urais aje kitaa kazi ziko nyingi Sana.
Mazingira yapi yaliotengenezwa bwana korosho to ku export imekuwa historia anasafirisha waziri tu wenye mashamba ya mikorosho wako hoi😅 ndio sera nzuri hizo?Sasa uko kwenye JF kutwa una post uta export vipi pamba na katani? Toka hapo sebuleni kwa shemeji yako nenda Kibaigwa, Sumbawanga, Mbozi, Tunduma, Longido, Rombo uone vijana wanavyochemka.
Serikali inatengeneza mazingira kupitia sera za viwanda, biashara na kilimo.
Acha kumtegemea shemeji akupe hela ya bundle na sabuni, toka kahangike, fursa zipo
Ndio sera nzuri za viwanda na biashara hizo za watu ambao wanakinga 10M kwa mwezi na marupu rupu kibwena😅Tatizo mtaji. Hata kulima yenyewe lazima ununue mbegu. Mbolea bei juu.
Umwajiliaji ndio mtihani hata nyanya haiwezi kukua.
Mchina kalima kando ya ruvu anamwagilia tayari amekamatwa. Sasa hizo furusa mama zikoje??.
Mkopo benki hipati kama huna senti moja mle.
Viongozi mnapotamka mfikirie na nje ya kapu pia.
Asante
Hahahahahah huyu maza anatuchezea, waje mtaani wanae waone balaa kama ndoa itatoboa hata miezi 6Na mtoto wake yule ambae mbunge na yule mkwe wake ambae Ni waziri nao watakuja kujiajiri lini?maana nafasi ziko mtaani nyingi tu Ni uvivu wao tu 😄😄😄
Hata zingekuwepo. Bongo kwa kazi hio hio mtu atataka ufanye siku nzima akulipe 5,000/=??? Ni unyama ulioje yani umfanyishe mtu kazi masaa 12 halafu umlipe 5,000. Kazi nyingi za bongo ni level ya vibarua kimaslahi.Tatizo nchi hii kuna kasumba ya kudharau kazi kama hizo. Tena vijana waliosoma wanaona fedheha kubwa kufanya hizo kazi. Lakini hiyo kasumba ingepigwa vita na kuondolewa vijana wengi wangefanya hizo kazi. Kama unavyowaona vijana wa kibongo wanabeba boksi Ulaya, wanaosha wazee, wanaosha masufuria hotelini, wanasafisha vyumba vya mahotelini wanalipwa na wanatuma hela kusaidia familia zao.