Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Safi sana .Sasa akapate mafunzo na uzoefu alio nao kwenye maji. Huyu kijana bila yeye watu wote 43 wangeperish .
Sio kweli sisi wavuvi wenzie tumesaidiana sana mtupe hata mitumbi ya kisasa jaman
 
Back
Top Bottom