Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni vifo vimesababishwa na uzembe .Kisa nini?
Unaonaje Sa100 akiwapeleka Zima moto wakawe wavuvi, Ili kupokezana na wavuvi wanaoajiriwa Zima moto Ili KAZI iendelee???😠😠😠Nampongeza Rais wangu kwa Jambo Hilo maana amefanya kitendo Cha kiungwana Sana kilichogusa hisia za watu wengi Sana ambao walitamani kusikia maneno hayo kutoka kwa Rais wetu mzalendo
hawashindwiWasijw tu muajiri kama kibarua, hii inchi ina wahuni wengi sana
Kusaidia katika majanga mbalimbali hiyo ni jambo la kawaida kabisa kwa watanzania walio wengi, yaan ghafla unamuona mtu anapata shida pale lazima ile instinct ya ubinadamu ichukue nafasi yake haraka sanaYule kijana jasiri Aliyesaidia Kuokoa abiria ajali ya ndege amepewa kazi kwenye Jeshi la Zimamoto.
Serikali imeagiza taarifa zake zichukuliwe na angizwe Zimamoto mara moja.
Huu ni ushindi mkubwa kwa serikali, hii itatoa motisha kwa wananchi kuweza kusaidia kwenye majanga mbalimbali
Kabisa mkuu..nilivyoona 'breaking news' kwamba ndege imeanguka ziwani,nilimshukuru Mungu kwa maana nilijua abiria wataokolewa haraka.Sasa hapa anataka kutuonyesha kwamba anajari sana au??sie tunataka majibu kwa nini watu wafe kizembe vile,idara za uokoaji na jwtz walikuwa wapi?,inawezekana vipi,hata jwatz hawana vifaa vya kuokoa watu kwenye ajari ndogo kama hii?
Hii nchi haipo salama kabisa,unaweza ukaivsmia na kuipiga vibaya,taasisi za ulinzi zipo bize kulinda wasenge wa ccm
punguzeni kuturoga!!Safi sana,hongera zake
Lakini ukiangalia upande wa pili kama sio haraka zake inawezekana hyo ndege ingevutwa mpaka kwenye kina kifupi na ndo mlango ungefunguliwa wangeweza kutoka watu wengi zaidi,labda hata vifo visingekuwepo,maana baada ya kufunguo huo mlango maji yalianza kuingia ndani ya ndege
Dogo alijiongeza sana, angesubiria wale jamaa wa airport wangekataa mlango usivunjwe. Kwa akili zao wanadhani ndege ni waterproofSafi sana .Sasa akapate mafunzo na uzoefu alio nao kwenye maji. Huyu kijana bila yeye watu wote 43 wangeperish .
Hakuna mtu mjinga kama huyo kiongozi, kawaua marubani...Mimi naomba yule aliemkataza huyo kijana asivunje kioo atajwe. Tumpe pongezi kwa kuua marubani
Kwamba waajiriwa wa serikali Hakuna walichofanya zaidi ya kuiangalia ajali kama zoezi la majaribio.
Maana yake ni kwamba Rais ameona kuwa kijana yule ana akili, uwezo na ujasiri kuwazidi askari wetu.Ni agizo kutoka kwa Rais Samia,
Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja...
Tena ingependeza kama baada ya kuajiriwa awe kamanda mkuu wa kikosi cha Zimamoto. Maana kazi aliyoifanya imeonekana.Yule kijana jasiri Aliyesaidia Kuokoa abiria ajali ya ndege amepewa kazi kwenye Jeshi la Zimamoto.
Serikali imeagiza taarifa zake zichukuliwe na angizwe Zimamoto mara moja.
Huu ni ushindi mkubwa kwa serikali, hii itatoa motisha kwa wananchi kuweza kusaidia kwenye majanga mbalimbali
Hebu acheni ujinga.Ni agizo kutoka kwa Rais Samia,
Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja...
Kama isingelitokea hii ajali hakungekuwepo na ajira!Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Majaliwa Jackson almaarufu Majamunyama ambaye ni mmoja wa vijana waliojitokeza kusaidia ...
Bado siamini kama ndoto ya huyu kijana nikulitumikia jeshi, pengine angewezeshwa kwenye maono yake.Hapo amefanya sawa.