Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Wangemuwezesha kwenye hiyo fani yake ya uvuvi iyoizoea.

Wangempa boti nzuri ya uvuvi na fedha kiasi.

Huko wanakwenda kumpoteza tu.
Kwa kumtambua na kumpa zawad pia inatosha
Maana tushazoea kuona wale wanaofanya mambo ya kibwegbweg na wanakuwa maarufu hadi wanapelekwa bungeni kama wagen
Sasa kwa huyu dogo ni hatua na sifa kubwa sana kwake

Ova
 
Kwa hili nampongeza Mama.
Ili maafa kama haya yakitokea tena basi watu wajitoe kweli kweli
 
Kwa kumtambua na kumpa zawad pia inatosha
Maana tushazoea kuona wale wanaofanya mambo ya kibwegbweg na wanakuwa maarufu hadi wanapelekwa bungeni kama wagen
Sasa kwa huyu dogo ni hatua na sifa kubwa sana kwake

Ova
Sifa pekee haziweki ugali mezani.

Hayo maisha ya mshahara hajayazoea.

Keshazoea kujikimu kwa kufanya uvuvi.

Wangemboreshea hali waliyomkuta nayo.

Huko wanakompeleka anakwenda kuanza moja.
 
Sifa pekee haziweki ugali mezani.

Hayo maisha ya mshahara hajayazoea.

Keshazoea kujikimu kwa kufanya uvuvi.

Wangemboreshea hali waliyomkuta nayo.

Huko wanakompeleka anakwenda kuanza moja.
Yote hayo yanaweza kufanyika

Ova
 
Ni agizo kutoka kwa Rais Samia

Amiri Jeshi Mkuu ameagiza Waziri wa mambo ya Ndani mh Masauni kuanza mchakato wa ajirar ya huyo kijana mara moja

Kijana huyu ndio alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa

Source TBC

======

Waziri mkuu akiwa kwenye shughuli ya kuaga miili ya kuaga marehemu waliopata ajali kwenye ndege ya precision amesema Rais Samia ametoa agizo kijana aliyewanusuru watu waliokwama kwenye ndege hiyo atafutiwe nafasi kwenye Jeshi la uokozi.

Pia Serikali kugharamia mazishi ya wote waliofariki kwenye ajali hiyo.
Vijana hao ni adimu kuwapata.
Ajira za vitengo sikuhizi ni ndugunization na watu hawafany kazi.
 
Ni agizo kutoka kwa Rais Samia

Amiri Jeshi Mkuu ameagiza Waziri wa mambo ya Ndani mh Masauni kuanza mchakato wa ajirar ya huyo kijana mara moja

Kijana huyu ndio alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa

Source TBC

======

Waziri mkuu akiwa kwenye shughuli ya kuaga miili ya kuaga marehemu waliopata ajali kwenye ndege ya precision amesema Rais Samia ametoa agizo kijana aliyewanusuru watu waliokwama kwenye ndege hiyo atafutiwe nafasi kwenye Jeshi la uokozi.

Pia Serikali kugharamia mazishi ya wote waliofariki kwenye ajali hiyo.
Rais amefanya jambo sahihi sana
Kumpa milioni moja ni motisha lakini kumpatia ajira ni zaidi ya motisha na kumheshimisha
 
Sifa pekee haziweki ugali mezani.

Hayo maisha ya mshahara hajayazoea.

Keshazoea kujikimu kwa kufanya uvuvi.

Wangemboreshea hali waliyomkuta nayo.

Huko wanakompeleka anakwenda kuanza moja.
Watoto wa marehemu mna wivu sana, ajira ya serikali ina security nyingi kuliko huo uvuvi wa kuchumia tumbo.
 
Nyie watu wajinga mno, taarifa zilichelewa kufika kwa serikali, au ulitaka waote? Wavuvi ndio walikua karibu na ndio maana walikua wa kwanza kusaidia
Hivi wewe uliwahi kumiliki akili lini?
 
Attachments

  • FB_IMG_1667812170202.jpg
    FB_IMG_1667812170202.jpg
    14.6 KB · Views: 3
Ila utendaji kazi wa Mungu ni wa ajabu sana. Ajali imekua neema kwa kijana. Na haikutokea bahati mbaya tu ni calculation za Mungu fundi
 
Ni agizo kutoka kwa Rais Samia

Amiri Jeshi Mkuu ameagiza Waziri wa mambo ya Ndani mh Masauni kuanza mchakato wa ajirar ya huyo kijana mara moja

Kijana huyu ndio alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa

Source TBC

======

Waziri mkuu akiwa kwenye shughuli ya kuaga miili ya kuaga marehemu waliopata ajali kwenye ndege ya precision amesema Rais Samia ametoa agizo kijana aliyewanusuru watu waliokwama kwenye ndege hiyo atafutiwe nafasi kwenye Jeshi la uokozi.

Pia Serikali kugharamia mazishi ya wote waliofariki kwenye ajali hiyo.
Motisha nzuri na inaongeza hamasa ya kuwajibika kwenye majanga mbalimbali
 
Mimi naomba yule aliemkataza huyo kijana asivunje kioo atajwe. Tumpe pongezi kwa kuua marubani
Huenda alikua anaficha madhambi yake mkuu.
Maana kwa hali ya kawaida huwezi kusema asiokolewe kisa wanachart.

Dogo anasema huyo jamaa ni mwanausalama hapo uwanjani, huenda kuna kiuzembe wamefanya hao watu na hawakutaka mwamba atoke akiwa mzima.
 
Yule kijana jasiri Aliyesaidia Kuokoa abiria ajali ya ndege amepewa kazi kwenye Jeshi la Zimamoto.

Serikali imeagiza taarifa zake zichukuliwe na angizwe Zimamoto mara moja.

Huu ni ushindi mkubwa kwa serikali, hii itatoa motisha kwa wananchi kuweza kusaidia kwenye majanga mbalimbali
Ushindi kivipi? Kulikuwa na mashindano?
Ni laana kwa Taifa kuwa na kiumbe hai kama wewe.
 
Hii haitoshi, ilipaswa raia wote walioshiriki kwenye uokozi ule yachukuliwe majina yao na serikali kuangalia jinsi ya kuwashukuru.
 
Sifa pekee haziweki ugali mezani.

Hayo maisha ya mshahara hajayazoea.

Keshazoea kujikimu kwa kufanya uvuvi.

Wangemboreshea hali waliyomkuta nayo.

Huko wanakompeleka anakwenda kuanza moja.
Huna jema khee!? Maneno haya ayaseme kijana mwenyewe aliyepewa fursa na Amiri Jeshi Mkuu. Kwa sasa story ni kupongeza uamuzi wa CIC na uhodari wa kijana Mtanzania.🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom