Edwin171
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 451
- 553
Mkuu, Kwani hiyo ndege waliivuta Kwa masaa mangapi? Nadhani Kwa ushauri wako huu, idadi ya vifo ingeongezeka zaidiSafi sana,hongera zake
Lakini ukiangalia upande wa pili kama sio haraka zake inawezekana hyo ndege ingevutwa mpaka kwenye kina kifupi na ndo mlango ungefunguliwa wangeweza kutoka watu wengi zaidi,labda hata vifo visingekuwepo,maana baada ya kufunguo huo mlango maji yalianza kuingia ndani ya ndege
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app