Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

Ni agizo kutoka kwa Rais Samia,
Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja...
Nijambo jema ila sasa akifika kule baada ya shibe ataishia kwa wenzake tu kufunja matofali siku ya sherehe ya uhuru na kuruka na parachuti
 
Daah nimewaza mengi sana,wenye uzoefu na utaalam wangewahi pengine hata pasingehitajika kubomoa ule mlango, pengine lillikuwa kosa, tuseme nini sasa ila kukubali matokeo.
 
Haya ndo mambo ya maana sasa, kwani ushujaa wake ni kielelezo tosha cha kupata ajira.

Unampaje 1ml akishaanza kuzitumia tu dakika chache zimeishia ilhali amejitoa nafsi yake kuokoa watu ambayo walikuwa wakiangamia.
Na yule askari mpuuzi aliyemzuia asifungue mlango wa pilot na baadaye pilot kafa amefanywaje? Hizi nguchiro zinazoitwa askari ni majanga matupu. Hatusahau MVBukoba waliamuru kutoboa kumtoa mhindi ikazama!!
 
Daah nimewaza mengi sana,wenye uzoefu na utaalam wangewahi pengine hata pasingehitajika kubomoa ule mlango, pengine lillikuwa kosa, tuseme nini sasa ila kukubali matokeo.
Naunga mkono Hoja....mdogo wa Ex wangu kafia kwenye hyo ajali...nimeumia sana maana she was still very young and beautiful....na alikuwa anamfuata mchumba wake Bukoba....nimeumia sana sana
 
Hapo wametumia busara, unampa million moja itamfaa nini!, ambayo itaisha kesho tu. Hapo itakuwa ni kumbukumbu kwake na taifa pia.

Kwakweli nilimwangalia wakati anapewa ile million 1 huku akilia hadi mimi mwenyewe nikatoa machozi, sijui labda alikuwa akilia akikumbuka wenzake walivyokuwa wakifa kwa kuzidiwa na maji ama tukio zima lilivyokuwa. Huzuni sana kwakweli.
 
Ni agizo kutoka kwa Rais Samia,
Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja.

Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa.
Kwa hiyo hapa tumsifu nani, huyo anayetoa amri ya kijana kupata ajira?

Matukio kama haya yanapotokea hawa viongozi wanatakiwa kuyachukulia kama makumbusho kwao juu ya yale mambo muhimu waliyosahau kuyawekea uzito.

Ni kukumbushia na kuanza hatua muhimu za kurekebisha upungufu huo, na siyo kuchukulia kivyepesivyepesi kama hivi inavyochukuliwa.

Haya, huyo kijana tapata ajira, na baada ya hapo itakuwaje?
 
Naunga mkono Hoja....mdogo wa Ex wangu kafia kwenye hyo ajali...nimeumia sana maana she was still very young and beautiful....na alikuwa anamfuata mchumba wake Bukoba....nimeumia sana sana
poleni sana ndugu, ajali imechukua wasomi tupu.
 
Kwa hiyo hapa tumsifu nani, huyo anayetoa amri ya kijana kupata ajira?

Matukio kama haya yanapotokea hawa viongozi wanatakiwa kuyachukulia kama makumbusho kwao juu ya yale mambo muhimu waliyosahau kuyawekea uzito. Ni kukumbushia na kuanza hatua muhimu za kurekebisha upungufu huo, na siyo kuchukulia kivyepesivyepesi kama hivi inavyochukuliwa.

Haya, huyo kijana tapata ajira, na baada ya hapo itakuwaje?
Ni tukio kubwa sana kwa kweli lakini limechukuliwa very lightly, na imeisha.
 
Alaaaa kwani kasema anataka kwenda jeshini, embuu watanzania tuache mara moja tabia ya kuchukulia mambo kwa ujumla.

Wampe uyo kijana kitu anataka
 
Alaaaa kwani kasema anataka kwenda jeshini, embuu watanzania tuache mara moja tabia ya kuchukulia mambo kwa ujumla.

Wampe uyo kijana kitu anataka
Wewe ndio wale vijana wa hovyo kwenye ajari badala ya kuokowa unawasachi majeruhi.
 
Anayejua kuokoa amepelekwa kwa wasiojua kuokoa wakamfundishe kuokoa.
 
Unafikiri anapenda kuwa mvuvi ?Kumtumikia tajiri ? Bora akaajiriwe huko serikalini nae kwa pesa aliyopewa anaweza pia kununua mitumbwi na kuajiri wavuvi. Au kufanya mwenyewe siku zake za off kazini.
Inaonekana wewe unamfahamu vizuri, hivyo ni vyema akafuata ushauri wako!
 
Back
Top Bottom