EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Mkuu huwa mnatafuta nafasi za uteuzi au, sio kwa mapambio na misifasifa izi kila uzi, mpaka inakuaa keroo.Hakika Rais Samia Ni kiongozi mwenye upendo na huruma Sana kwetu watanzania, Ni kiongozi anayethamini mchango wa kila mtanzania, Ni kiongozi anayemjali kila mtanzania, Ni kiongozi mwenye moyo wa uongozi na Nikiongozi anayetambua juhudi za kila mtanzania, Ni mfariji wetu wakati wote na Tumaini letu watanzania wakati wa shida zinazohitaji kiongozi kusimama mbele yetu kutuongoza, Pole sana Rais wetu na Hongera kwa moyo wako wa uzalendo kwa nchi yetu na Taifa letu