Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

Huyu Waziri wa Sheria Prof. Palamagamba Kabudi bwana yaani jinsi alivyotoa sauti nzito kana kwamba anakula Kiapo cha U'makamu Raisi..
Sauti yake unaweza kuogopa hata kuripoti kazini.. Ila sauti yake na Akili yake ni mbingu na ardhi.. Hebu tuone awamu hii ya 6 atakuwaje, pengine alikuwa anafuata akili ya Aliyekuwa KIRANJA MKUU..
Enzi za mwendazake John Pombe Magufuli (RIP) , Prof. Kabudi atoa wosia tusijiandae kwa cheo chochote, endelea kusikiliza nukuu za kufikirisha za wosia za hekima anazo - 'share' Prof. Palamagamba Kabudi nasi sisi vijana ambazo alizipata toka kwa babaye kuwa pengine tuishi kufuatana na "nyakati"

Ukiskia chambua kama karanga ndo hiyo, ni shot kulia shot kulia we uko mbele wakisema nyumaaa geuka, shot kulia shot kulia we wa mwisho 😁👌
 
Huyu Waziri wa Sheria Prof. Palamagamba Kabudi bwana yaani jinsi alivyotoa sauti nzito kana kwamba anakula Kiapo cha U'makamu Raisi..
Sauti yake unaweza kuogopa hata kuripoti kazini.. Ila sauti yake na Akili yake ni mbingu na ardhi.. Hebu tuone awamu hii ya 6 atakuwaje, pengine alikuwa anafuata akili ya Aliyekuwa KIRANJA MKUU..
Kaniacha hoi jinsi alivokuwa anakula kiapo
 
Philip Mpango Bado anafikiri anafanya kazi na JPM, Anamwagiza Mwigulu akakusanye kodi kubwa Sana, nimefutahi Rais amezuia kubambikiza kodi kwa wafanyabiashara na Hakuna kuzuia pesa za wafanyabiashara benki...Big up Madam President
 
MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU GERSON MSIGWA SASA NAONA KACHOKA KAZI
Kaharibu sana Protocal leo Kusahau kumadress Makamu wa Rais na kukosea zaidi ya mara tatu duuuuu
Kiwewe. Labda ameshanusa harufu kuwa atapekechwa
 
Philip Mpango Bado anafikiri anafanya kazi na JPM, Anamwagiza Mwigulu akakusanye kodi kubwa Sana, nimefutahi Rais amezuia kubambikiza kodi kwa wafanyabiashara na Hakuna kuzuia pesa za wafanyabiashara benki...Big up Madam President
Hii kitu ilikuwa pabaya kwa nini uzuie pesa zangu benki
 
RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma....
CHADEMA , Gekul na Waitara wanazidi kushaini, kweli BAVICHA wapo vizuri, huku Katambi, huku Molel, huku Mwita, kama Draft
 
Mama hotuba zako zina boa.
Tulizoea zile za kugombezwa na kutishwa na mdeeefu. Ila wewe una maneno machache na yana choma hadi mfupa. Nikitaka ku summarise nashindwa najikuta naichukua yote. Hii hatujazoea hebu jifungie ndani ujifunze za mtangulizi wako.

Halafu sema serikali ya MAMA. Maana vijana wanakosa pa kuanzia MATAGA naona wapo kimya hawajui waanzie wapi.

Haya ngoja tule pasaka turudi
 
Back
Top Bottom