Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

Hii ya macho yamelegea lakini yanaona ni kauli pana sana ukiichambua na wale wa mbio za urais jumlisha na kubambikia watu kodi za ajabu ajabu ni mambo ya msingi katika khutba ya muheshimiwa rais.
 
Mnauwa wafanyabiasha.. mnawanyang'anya mali zao ndio mana wafanya biashara wanafunga biashara zao.
 
Bado OSHA naomba aifute wanatuletea bill za kipumbavu kupima Mwanga radiation n.k and then wanasepa bill hilo kupima afya bila matibabu kama elfu 70 kila mfanyakazi ni upuuzi
 
Waliokuwa wakisema TRA inaua wafanyabiashara na biashara nchini waombwe samahani. Ni wazalendo wa kweli wa taifa hili. Tuliaminishwa vibaya.

Mengi yatazidi kujulikana inshallah.
JPM R.I.P hakufaa kabisa kuwa rais wa nchi mungu amsamehe makosa yako. Sijui alkuwa anataka nini katika nchi hii. Uongo uongo mwingi sana na ukali wa hovyo hovyo bila sababu ya msingi.
 
Muda n rafiki mzuri utaongea tu.mengi yatafahamikaa,na km alishawahi mwaga damu ya mtu bac itajulikana tu
 
Kwani mlikuwa mnatakaje mbona mmekomaa na marehemu!? Yule harudi wazee leteni mada mpya zenye uzalendo [emoji38]
 
Mkuu hao waliokupa taarifa hii ya kushangaza walikuwa wapi kipindi hicho? Mpango si ndiyo alikuwa mshauri na kiongozi wa masuala yote ya uchumi. Ama kweli hii nchi CCM itatawala milele.
 
Waliokuwa wakisema TRA inaua wafanyabiashara na biashara nchini waombwe samahani. Ni wazalendo wa kweli wa taifa hili. Tuliaminishwa vibaya.

Mengi yatazidi kujulikana inshallah.
Kukichwa kutapambazuka... Muda wa mawio umewadia... Kunapambazuka sasa
 
Mpango na Serikali yote mrudi na kutuambia mnaposema "KULETA MAENDELEO KWA NCHI " Mna maana maendeleo ya watu au vitu? Majibu yenu yataonekana na kuthibitishwa na wapi mtaweka uzito katika bateti yenu mnayoandaa/mnayoijadili sasa!! Wananchi wanataka kuona ukali wa maisha unapungua kupitia kwenye bajeti yenu!!
 
JPM R.I.P hakufaa kabisa kuwa rais wa nchi mungu amsamehe makosa yako. Sijui alkuwa anataka nini katika nchi hii. Uongo uongo mwingi sana na ukali wa hovyo hovyo bila sababu ya msingi.
Hata akichimba choo cha shule anakwenda kwenye media na kutangaza watanzania wafahamu kuwa kuna choo kimechimbwa.
 
Kwani mlikuwa mnatakaje mbona mmekomaa na marehemu!? Yule harudi wazee leteni mada mpya zenye uzalendo [emoji38]
Wana wasiwasi huenda wanampa sifa nyingo mno zisizomstahili
 
Back
Top Bottom