Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

Mkuu hao waliokupa taarifa hii ya kushangaza walikuwa wapi kipindi hicho? Mpango si ndiyo alikuwa mshauri na kiongozi wa masuala yote ya uchumi. Ama kweli hii nchi CCM itatawala milele.
Nani ashauriwe nini na nani ambaye hajipendi?
 
Mpango na Serikali yote mrudi na kutuambia mnaposema "KULETA MAENDELEO KWA NCHI " Mna maana maendeleo ya watu au vitu? Majibu yenu yataonekana na kuthibitishwa na wapi mtaweka uzito katika bateti yenu mnayoandaa/mnayoijadili sasa!! Wananchi wanataka kuona ukali wa maisha unapungua kupitia kwenye bajeti yenu!!
Mpango wowote ambao hauongezi ajira mpya na kuboresha hali ya maisha ya watumishi na wakulima sio mpango hai na madhubuti kwakuwa pesa za wakulima na watumishi ndizo zinazokwenda kwa wafanyabiashara na kodi. Kama kipato cha Mkulima na mfanyakazi ni mbuzi hata biashara na kodi vitakuwa mbuzi pia.
 
Waliokuwa wakisema TRA inaua wafanyabiashara na biashara nchini waombwe samahani. Ni wazalendo wa kweli wa taifa hili. Tuliaminishwa vibaya.

Mengi yatazidi kujulikana inshallah.
Waafrica ni mabingwa wa kukwepa kulipa kodi..!! Unakwepa kulipa kodi wakati mtaji wenyewe wakuunga unga ukija kudakwa unakuta nusu ya mtaji wako ndo kodi unapaswa kulipa sasa unaanza kuchanganyikiwa...
 
Weng wanaosifia makodi ya mzee n wasio na bishara
 
Hivi Kabudi alipewa ubalozi au aliongoza Foreign Affairs bila kuwa balozi?
 
Waafrica ni mabingwa wa kukwepa kulipa kodi.

Kwanini waafrica ni mabingwa wa kukwepe kodi? Je inaweza kuwa hawaoni sababu ya kulipa kodi kwasababu kodi ni kubwa sana hazilipiki [ regressive taxes] au hawaoni kuwa kodi wanayolipa haitumiki vizuri na Serikali hivyo hawafaidiki na kodi yao!!
 
Ni kweli cos Africa tumebahatika kuwa na Wanasiasa wengi kuliko viongozi ijapokuwa bado sana ata pale tunapopata Viongozi hatuwapi ushirikiano.

Mfano leo ukiwa na duka mtaani la kawaida tu unatakiwa kulipa Tsh 80,000/= kwa mwaka lakini leo pita mtaani uangalie wangapi wana reseni za biashara ambazo wanatakiwa kila mwaka wakarenew ili walipe iko kislasi cha pesa? Na wangapi walienda kukata kwa ao walikuwanazo? Utakuta wengi walienda kukata kipindi cha Magu cos kulikuwa na purukushan za kodi ila wenyewe kama wenyewe hawaendi katu.
 
Sasa what will be their motivation kulipia hiyo shs. 80,000 ya leseni wakati mtaani kwao hakuna taa hivyo jioni huwasha vibatari; na Barabara zao ni za vumbi!!! Lakini kitongoji cha huko Chato tulijionea wenyewe mataa barabarani yalivyokuwa yanawaka wakati tulipohudhuria mazishi!! Lopsided development is not acceptable.
 
Nilijua utatolea mfano Temeke au Buza huko ambako wamepigiwa mikeka safi
 
Back
Top Bottom