Ni kweli cos Africa tumebahatika kuwa na Wanasiasa wengi kuliko viongozi ijapokuwa bado sana ata pale tunapopata Viongozi hatuwapi ushirikiano.
Mfano leo ukiwa na duka mtaani la kawaida tu unatakiwa kulipa Tsh 80,000/= kwa mwaka lakini leo pita mtaani uangalie wangapi wana reseni za biashara ambazo wanatakiwa kila mwaka wakarenew ili walipe iko kislasi cha pesa? Na wangapi walienda kukata kwa ao walikuwanazo? Utakuta wengi walienda kukata kipindi cha Magu cos kulikuwa na purukushan za kodi ila wenyewe kama wenyewe hawaendi katu.