Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Anavuruga akili watu waliozowea kumuona Meko ni Mungu waomama ni genious
Ngoma imikwisha sasa ni kusafisha taka zoteKweli mama ila TRA hawana makosa walikua wanacheza ngoma kulingana na mdundo.
Huyu mama anairudisha Tanzania kwenye track.Mama ni genious
JPM R.I.P hakufaa kabisa kuwa rais wa nchi mungu amsamehe makosa yako. Sijui alkuwa anataka nini katika nchi hii. Uongo uongo mwingi sana na ukali wa hovyo hovyo bila sababu ya msingi.Waliokuwa wakisema TRA inaua wafanyabiashara na biashara nchini waombwe samahani. Ni wazalendo wa kweli wa taifa hili. Tuliaminishwa vibaya.
Mengi yatazidi kujulikana inshallah.
Kukichwa kutapambazuka... Muda wa mawio umewadia... Kunapambazuka sasaWaliokuwa wakisema TRA inaua wafanyabiashara na biashara nchini waombwe samahani. Ni wazalendo wa kweli wa taifa hili. Tuliaminishwa vibaya.
Mengi yatazidi kujulikana inshallah.
Hata akichimba choo cha shule anakwenda kwenye media na kutangaza watanzania wafahamu kuwa kuna choo kimechimbwa.JPM R.I.P hakufaa kabisa kuwa rais wa nchi mungu amsamehe makosa yako. Sijui alkuwa anataka nini katika nchi hii. Uongo uongo mwingi sana na ukali wa hovyo hovyo bila sababu ya msingi.
Wana wasiwasi huenda wanampa sifa nyingo mno zisizomstahiliKwani mlikuwa mnatakaje mbona mmekomaa na marehemu!? Yule harudi wazee leteni mada mpya zenye uzalendo [emoji38]