Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

Kwa nini Shein aliuacha umakamu wa Rais wa Muungano akaenda kugombea Urais wa Zanzibar?
 
Hiyo ni Tanganyika ikiwa peke yake,,lakini ikiwa Muungano ni sahihi akitoka makamu wa raisi anafuata raisi wa zanzibar
 
Sasa kitunguu cha katiba si nimekuandikia Hapo we matako.

Siku hizi tuna watu wengi wenye Magonjwa ya afya ya AKILI.
Wewe ni mmojawapo Tena una kifungashio Cha UTI SUGU NA FISTULA .

Shoga punguza shobo, leta hoja acha Matusi.

Wewe K.ufa U.laya M.azishi A.frica (K.....M)....la Mamako πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…
 
Hiyo ni Tanganyika ikiwa peke yake,,lakini ikiwa Muungano ni sahihi akitoka makamu wa raisi anafuata raisi wa zanzibar
Hamna , acheni kuleta maoni yenu binafsi , jielekeze kwenye katiba Ina vyosema sio vinginevyo.
 
Hamna , acheni kuleta maoni yenu binafsi , jielekeze kwenye katiba Ina vyosema sio vinginevyo.
Kuna katika na kuitafsir katiba

Ukifuata katika bila tafsir sahihi utakuta spika ni mkubwa kuliko raisi wa zanzibar
 
Siku hizi tuna watu wengi wenye Magonjwa ya afya ya AKILI.
Wewe ni mmojawapo Tena una kifungashio Cha UTI SUGU NA FISTULA .

Shoga punguza shobo, leta hoja acha Matusi.

Wewe K.ufa U.laya M.azishi A.frica (K.....M)....la Mamako 🀣
Kusoma kweli ni mali,haya endelea na upuuzi wako.
 
Kusoma kweli ni mali,haya endelea na upuuzi wako.
Hakuna upuuzi, upuuzi ni huo unao ufanya wewe, kuparamia hoja ambayo inazid uwezo wako mdogo wa akili ya kwenye kisoda.
Ni busara kukaa kimyaa, na kuficha upumbavu wako, kwenye mada ambazo huzielewi wala huwezi kuzitetea kwa reference.

Kumaliza ubishi leta rejea ya kikatiba inayoonesha mkuu WAKO wa WILAYA za Zanzibar ni Mkubwa kuliko waziri mkuu
 
Upo sahihi Aione chiembe na ChoiceVariable wasiojua kuwa hawajui
 
Huna akili na huna uwezo wowote wa kushindana na mimi!πŸ˜‚πŸ˜‚ Unasoma masters ya kiswahili kenyaπŸ˜‚πŸ˜‚ This is laughable...Halafu mke wako si kahaba!!?
 
What a display of stupidity! Nimekuzidi kila idara😁😁 unaanza kuingiza mada nyingine kisa mke wako anakalia hogo la wauniπŸ˜‚πŸ˜‚
 
1.Rais wa JMT
2.Makamu wa rais JMT
3.Rais wa Zanzibar
4.Waziri mkuu wa JMT
5.Makamu wa kwanza wa rais zanzibar
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
8.Katibu mkuu kiongoz JMT
Hivi vitu wala hata havina relevance kwenye maendeleo ya Taifa
 
Acha kukurupuka ww chizi! Soma kwa makini watu tupo makini sio kama ww ngedere.Hujaelewa nilichoandikaπŸ˜‚πŸ˜‚ futa hili gazet lako.
 
1.Rais wa JMT
2.Makamu wa rais JMT
3.Rais wa Zanzibar
4.Waziri mkuu wa JMT
5.Makamu wa kwanza wa rais zanzibar
6.Makamu wa pili wa rais zanzibar
7.Naibu waziri mkuu JMT kama yupo
8.Katibu mkuu kiongoz JMT
KUMBUKA huyo namba tatu sio Rais wa Zanzibar, yeye ni Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar...yule sio Rais wa nchi....waziri mkuu ni WA jamhuri ya muungano wa tanzania, hivyo kikatiba ni mkubwa
 
What a display of stupidity! Nimekuzidi kila idara😁😁 unaanza kuingiza mada nyingine kisa mke wako anakalia hogo la wauniπŸ˜‚πŸ˜‚
Imekuuma ehee, unatumia Lugha chafu baada ya kukushinda hoja ya Katiba na udogo wa mkuu wa wilaya anayeongoza Wilaya, Zanzibar vs Waziri Mkuu??

Nitaendelea kujibu kwa lugha inayofanana na wewe.

Wewe ndiye umeonesha highest level of ignorance.
Ni mweupe, ni zero brain 🧠.

Kama upo kwenye nafasi kubwa basi Tz tupo kwenye hatari kubwa.


Wazazi wako walitakiwa KUFUGA NGURUWE kuliko kukusomesha mtu mpuuzi kama wewe.

Wangefuga NGURUWE wangenufaika sana πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…

By the way I'm very grateful, you are revealing the highest level of your stupidity.

I have seen lack of objectivity and particularity in all of your reply.
Mwambie wife wako aache kugawa papuchi kwa bodaboda,sijui Huwa haumridhishi,watu wanashindwa tu kukuambia,

Shame on you DUDE πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£
 
Acha kukurupuka ww chizi! Soma kwa makini watu tupo makini sio kama ww ngedere.Hujaelewa nilichoandikaπŸ˜‚πŸ˜‚ futa hili gazet lako.
Futa hivi pia inaonekana una uwezo mdogo au msongo wa mawazo kuishi maisha yasiyo ya ndoto yako.. tumia lugha za Busara unapochat na unknown
 
Kikatiba hakuna Rais wa Zanzibar, Kuna Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Hivyo yule sio Rais wa Zanzibar bal ni Rais wa SMZ...kumwita Rais wa Zanzibar ni kuisigina katiba yetu...
 
😎😎 Huyu ndiye mtu anasoma masters!! Hajui vitu vidogo kama hvπŸ˜‚πŸ˜‚ Aisee hiyo masters ya kiswahili ipo vzr ww ngedere.
 
Huyo kijana anatumia lugha za mtaani sana na kihuni wanapowasilisha mchango wake nasikitika sana na uwezo wake ..

Yeye anajiandikia as if haijui katiba ambayo ndiyo msingi wa miongozo yote katika Nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…