We kijana unaandika haya unatoa wapi ushawai kuwa hata kwenye msafara wowote wa Rais wa JMT, makamu wa Rais? Au hata Waziri Mkuu au unaandika andika tu sijui escort 1 mara 2..
Rais na makamu wa Rais wote wana Escort 1 na 2 tunapokuwa katika misafara huwa tunapanga gari hivi
Ikiwa ni Msafara wa Rais utakuwa kama
ifuatavyo:-
i)SweepCar
Maafisa wa Polisi/Traffic
ii)LeadCar
RPC
iii)Escort (1)
Walinzi wa Rais
iv)
VIP (2)
Mke/Mme wa Rais
v
)VIP (1)
Rais na Mkuu wa Mkoa
vi)Escort (2)
Walinzi wa Rais
vii)
Escort (3)
Mlinzi Mkuu & RSO
viii)Rear Guard
FFU
ix)Gari la akiba
x)Gari Na. 10
Mwenyekiti wa Chama Tawala wa
Mkoa
xi)Gari Na.11
- Waziri wa zamu
Katibu Mkuu wa zamu
Katibu wa Rais
xii)Gari Na. 12
Daktari wa Rais
Mwandishi wa Habari wa Rais
Msaidizi wa Rais (Siasa)
Mpigapicha Mkuu wa Rais
xiii) Ambulance
xiv) Mafundi
xv) Tail Car
Hivyo hivyo itakuwa sawa kwa Rais wa Zanzibar utofauti utaonekana kwa makamu wa Rais yeye hana escort 1 na 2 ila atakuwa na VIP 1 na 2
Hivyo hivyo kwa waziri mkuu mfano
Msafara wa Makamu wa Rais utakuwa kama
ifuatavyo:-
(i)Sweep Car
Maafisa wa Polisi/Traffic
(ii)LeadCar
RPC
(iii)VIP (2)
Mke wa Makamu wa Rais
(iv)VIP (1)
Makamu wa Rais na Mkuu wa Mkoa
(v)
Escort
Mlinzi Mkuu & RSO
(vi)Rear Guard
FFU
(vii)Gari la akiba
(viii)Gari Na 8
Mwenyekiti wa Chama Tawala wa
Mkoa
(ix)Gari Na.9
- Waziri wa zamu
- Katibu Mkuu wa zamu
- Katibu wa Makamu wa Rais
Magai mengine yatafuata kama nilivyoandikwa hapo juu..
Lakini upande wa waziri mkuu Msafara wa Waziri Mkuu utakuwa kama
ifuatavyo:-
i)SweepCar Maafisa wa Polisi/Traffic
ii)LeadCar
RPC
iii)VIP (2)
Mke wa Waziri Mkuu
iv)VIP (1)
Waziri Mkuu na Mkuu wa Mkoa
v
)Escort
Mlinzi Mkuu & RSO
vi)Rear Guard
FFU
vii)Gari la akiba
viii)Gari Na.8
Mwenyekiti wa Chama Tawala wa Mkoa
ix)GariNa. 9
Waziri wa zamu
Katibu Mkuu wa zamu
-Katibu wa Waziri Mkuu
Na kumbukeni kuwa
Mpangilio wa magari ulioelezwa hapo juu ni
wa utendaji na sio kielelezo cha ukubwa wa
madaraka.
Acha ujuaji usipoteshe watu kama hujui kaa kimya nimeandika haya ila kutafuta sababu hayapaswi kuoneshwa kwa watu wasio na umuhimu