Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Wewe ndo unajidanganya na kujichanganyabsana.Kikatiba hakuna Rais wa Zanzibar, Kuna Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Hivyo yule sio Rais wa Zanzibar bal ni Rais wa SMZ...kumwita Rais wa Zanzibar ni kuisigina katiba yetu...
UMETIA MRENDA KWENYE PILAU,😅😅
Alisikika mtu mmoja
MIMI SIVUTI SIGARA NAVUTA SM🤣😅🤣😅