Rais Samia: Kuagiza sukari nje ya nchi ni upotevu wa pesa

Wala mpina alichokuwa anapinga taratibu zilizotumika, pamoja na ununuzi huo katika sehem moja, according to him wazalishaji walisema wana capacity ya kujaza hilo gape? Walisikilizwa? Waziri alikutana nao?
 
Majibu yalishatolewa ya kina. Mpaka Spika kumpa adhabu serikali ilishajiridhisha na tuhuma za Mpina.

Huyo Ngosha ni wale jamaa wenye kusumbuliwa na 'superiority complex' anawashambulia mawaziri wa SSH lakini ujumbe mpana ni kwamba mlengwa wa tuhuma zote ni SSH mwenyewe.
 
lucka acha kigeu geu si wewe hapa ulimsifia mpaka Bashe kwa kuagiza sukari leo hii umekula reverse moja matata mpaka katambuga zako zimetoa cheche hapo
Weka hilo andiko langu nililo msifia Mheshimiwa Hussein Bashe kwa kuagiza sukari nje ya Nchi.Mimi sijawahi kuzungumza jambo lolote lile juu ya sakata hilo la sukari.
 
Na wapunguze sana sukari kwenye juice
Maradhi mengi na bado wanajaza sukari
Mnajua ulaya kampuni ikipunguza sukari sana wanapewa Asante ya hela na serikali?
 
Mbona mlikuwa mnamukaanga mpina kwa kukataa report ya waziri wa Kilimo

Nimeshangaa sana Lucas kuleta hii habari.

Ukiona CCM wote wanakupinga basi ujue umegusa ulaji wao.

Kuagiza sukari ni WEEZY wa Waziri na CARTEL yake.

Kwa Kauli ya rais inabidi 2CRY asitishe adhabu yake kwa MPINA.
 
Tusipoondoa mambumbumbu serikalini, huko tuendako ni kugumu sana kuliko hata Bangladesh ya sasa. Rais apate washauri wazuri. Nakumbuka alivyomtukana Prof. Mkenda kwa issue hii na kumtoa uwaziri wa Kilimo.
 
Aiseee rudi kupitia tena youtube uone malumbano ya Mpina na bashe maana naona kama unapotosha.
 
Tulia na timu Bashe wanajisikiaje🤔🤔🤔, Mpina alionewa au nguvu ya pesa iliziba macho na masikio ya bunge hivyo kumfukuza Mpina🤔🤔? Inatakafarisha sana.
 
Bashe analijua jambo mhimu hilo
 
Mpina hoyeeee!!!
 
Tusipoondoa mambumbumbu serikalini, huko tuendako ni kugumu sana kuliko hata Bangladesh ya sasa. Rais apate washauri wazuri. Nakumbuka alivyomtukana Prof. Mkenda kwa issue hii na kumtoa uwaziri wa Kilimo.
Naomba uniwekee ushahidi wa hayo matusi akimtukana Mheshimiwa Profesa Mkenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…