Rais Samia: Kuagiza sukari nje ya nchi ni upotevu wa pesa

Mbumbumbu kubwa kuliko vyote na ambacho ni chanzo cha yote ni CCM.
Hao mambumbumbu wa serikalini wametengenezewa umbumbumbu na chama "twawala" ambacho ni CCM,hivyo kufanya mfumo wote kuwa mbumbumbu.
Ninyi Upinzani Hamna hoja kabisa. CCM itaendelea kuwa chama kiongozi Nchini na Barani Afrika.
 
Je Bashe anasemaje juu ya ule mpango wakevwa kutaka kugeuza mashamba ya miwa kuwa mashamba ya mpunga?
 
Ili kumaliza haya malumbano ya sukari Rais angejifanya angalau anambadilisha wizara Bashe.
 
Mwenyezi Mungu alijua kuwa binadamu kwenye maslahi yao ni Wanafiki ndio maana alishusha Aya kwa ajili ya wanafiki.


Ingekua zama za Kitabu basi CCM ingeshushiwa aya ya wanafiki na uchawa.
 
Hiyo kauli ungekuwa na mantiki Kama angemtengua Bashe na wote waliohusika na uagizaji kinyume na Sheria kushugulikiwa vinginevyo ni kauli ya kisanii.
 
CCM na wafuasi wake kila kitu wanashangilia
 
Mama angemfanya Mpina awe mshahuri wake, ndio mtu pekee wa CCM anaemwambia ukweli. Tofauti na wengine wote wanaompaka mafuta kwa mgongo wa chupa...
 
Mama angemfanya Mpina awe mshahuri wake, ndio mtu pekee wa CCM anaemwambia ukweli. Tofauti na wengine wote wanaompaka mafuta kwa mgongo wa chupa...
Rais anao washauri wa kutosha na wenye weledi mzuri na wanaendelea kufanya kazi hiyo vizuri sana
 
Nchi ikiwa na wananchi "mfu" kila siku itageuzwa ni nchi ya Wadanganyika. Huyu mama hata aibu anasema uongo, kwa sababu anajua waTanzania ni punguani na husahau. Yeye anajua kuwa Waziri ndiyo yeye alimtuma aagize Sukari na kumsifia, Leoa anakuja ati tusiagize Sukari--------------!!! Na wengi wamepiga makofi na kufurahi, ati Rais alidanganywa---------dadeki
 
Kaa kwa kutulia hapa na siyo kupiga porojo zako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…