Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
WaTZ tunapenda kujipa moyo, this country has 60 years of age.Kenya haina tija kwa uchumi wetu?
Rwanda, Burundi ,Kongo, Zambia hazina tija kwa uchumi wetu?
Kwa hiyo bandari ya Dar haina tija na uchumi wetu?!!![emoji44][emoji44]
"Regional economy" si tija kwa WANANCHI wa kawaida eee?