MVB Jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 489
- 1,553
Dah! Mkuu umejua kunichosha..Unapodai kuwa Kenya,Rwanda na Burundi zina tija kwa uchumi wa Tanzania umetumia data na statistics gani?Umetumia credible source gani katika information zako?Umetumia tafiti gani za uchumi?Haya mambo ya uchumi siyo mambo ya kupiga porojo kama alivyokuwa anafanya magufuli bali ni masuala ya data kutoka kwenye credible sources pamoja na tafiti.
Unapodai kwa mfano kuwa Congo au Rwanda ina tija katika uchumi wetu umelinganisha nchi hizi na nchi gani?Rwanda inaweza kuwa na tija katika uchumi wetu kumbe tija yake ni ndogo mara kumi ukilinganisha na nchi nyingine kutoka Ulaya na marekani kwa mfano.Haya mambo ya tija katika uchumi yanahitaji ufanye kwanza comparative analysis ya masuala mazima ya uchumi.Umefanya comparative analysis gani katika nchi mbalimbali hadi ugundue kuwa Congo inapaswa kupewa kipaumbele katika ziara za Rais kwa sababu ina tija kwetu kuliko nchi nyingine kutoka mfano ulaya na Marekani?
Wewe unaongea tu porojo kuwa Rwanda,Burundi sijui Congo zina tija kwetu bila kuwa na credible sources za data,statistics,informations na kadhalika.Mbaya zaidi hujafanya comparative analysis yoyote ile katika nchi mbalimbali ili kujua ni nchi zipi kwa uhakika zina tija kwetu kabla ya kufikia conclusion yako.Haya mambo huwa hayafanywi kama unavyotaka kufanya hapa.Haya mambo ni sayansi.
Huyu Mama wa Kambo anaependa kuzurura kama yale mapaka yasiyofugwa yeye anaenda tu Congo huko na kadhalika ila mradi aonekane kuwa Rais yupo ziarani.She is inept.
Nilipoona umeanza kwa kuhoji no credible information has been provided to suport utija wa nchi tajwa, nikajua utamalizia kwa kutoa credible information kujustfy kukandia kwako.
Sio poa Mkuu kuchoshana! Don't do this next time.