Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Mwacheni Mama afanye kazi, yule mtu hakujua kiingereza msifikiri alikuwa hapendi safari
 
T
Tusilalamike!! Urefu wa kamba yake unamruhusu!!
 
Wapumbavu pekee ndio udhani mtu anaejua kuongea Kingereza ndio msomi Bali asiyejua Kingereza sio msomi
Hivi unafikiri Rais kutembea mpaka ujue kiingereza!! Wengi tu wanajua kiingereza lakini wakiwa ziarani hutumia lugha zao za Taifa na akawepo mkalimani!! Mfano mzuri ni PUTIN na Xi wa China!!
 
Hakuna kitu kinaaitwa raisi kujifunza kwa kwenda sehemu, raisi anapaswa kuongoza kwa kufuata katiba.
Huko kusafiri ni kutafuta fursa za kibiashara na kuhudhuria vikao
Rais wa pili wa china Deng Xiaoping alijifunza jinsi Singapore ilivyoendelea kiuchumi wakati huo China ikiwa na umaskini mwingi sana kipingi ameenda kuzuru Singapore
 
Kwa hiyo Kuna shida gani
 
UVCCM_ TAIFA
MEI 23, 2022

TUNAKUTAKIA SAFARI NJEMA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)Taifa unakutakia Safari njema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN katika Ziara yako ya kikazi ya Siku tatu Accra, Nchini Ghana.

#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeJuhesabiwa
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…