pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kuna aliyeenda uswisi lakini kimyaaaaaa,
Au kwa kuwa huyu ni mwanamke? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chuki kwa kwenda mbele
Au kwa kuwa huyu ni mwanamke? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chuki kwa kwenda mbele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni Mama afanye kazi, yule mtu hakujua kiingereza msifikiri alikuwa hapendi safariWakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.
Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo.
======
Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kuelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo.
Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu.
Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi.
Hii ni ziara ya 6 kwa mwaka 2022, na ni ziara ya 12 tangu Rais Samia aingie madarakani.
Kujua safari nyingine za Rais soma Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan tangu alipokuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Tanzania
Tusilalamike!! Urefu wa kamba yake unamruhusu!!Wakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.
Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo.
======
Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kuelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo.
Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu.
Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi.
Hii ni ziara ya 6 kwa mwaka 2022, na ni ziara ya 12 tangu Rais Samia aingie madarakani.
Kujua safari nyingine za Rais soma Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan tangu alipokuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Tanzania
Hivi unafikiri Rais kutembea mpaka ujue kiingereza!! Wengi tu wanajua kiingereza lakini wakiwa ziarani hutumia lugha zao za Taifa na akawepo mkalimani!! Mfano mzuri ni PUTIN na Xi wa China!!Mwacheni Mama afanye kazi, yule mtu hakujua kiingereza msifikiri alikuwa hapendi safari
Nasikia wapo vizuri sn hata upande wa democrasia
Hivi unafikiri Rais kutembea mpaka ujue kiingereza!! Wengi tu wanajua kiingereza lakini wakiwa ziarani hutumia lugha zao za Taifa na akawepo mkalimani!! Mfano mzuri ni PUTIN na Xi wa China!!
Rais wa pili wa china Deng Xiaoping alijifunza jinsi Singapore ilivyoendelea kiuchumi wakati huo China ikiwa na umaskini mwingi sana kipingi ameenda kuzuru SingaporeHakuna kitu kinaaitwa raisi kujifunza kwa kwenda sehemu, raisi anapaswa kuongoza kwa kufuata katiba.
Huko kusafiri ni kutafuta fursa za kibiashara na kuhudhuria vikao
Huo ukatili wenu umeleta maendeleo gani?Demokrasia isiyoleta maendeleo haitufai ni uchafu🚮. Demokrasia iliyojaa rushwa,uzembe,wizi ni sumu kwa mustakabali wa maendeleo ya Afrika
Kwa hiyo Kuna shida ganiWakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.
Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo.
======
Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kuelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo.
Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu.
Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi.
Hii ni ziara ya 6 kwa mwaka 2022, na ni ziara ya 12 tangu Rais Samia aingie madarakani.
Kujua safari nyingine za Rais soma Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan tangu alipokuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Tanzania
Hakuna mahali Tanzania inafanya ukatili Basi Kama ingekuwa inafanya ukatili sidhani kama wewe ungepata Uhuru huu hapa jfHuo ukatili wenu umeleta maendeleo gani?
Ndiyo maana najificha mpuuzi mkubwa weweHakuna mahali Tanzania inafanya ukatili Basi Kama ingekuwa inafanya ukatili sidhani kama wewe ungepata Uhuru huu hapa jf
Alisikika kiazi mmoja wa BuzapalangeMwacheni Mama afanye kazi, yule mtu hakujua kiingereza msifikiri alikuwa hapendi safari
Hakuna wanafiki wakubwa nchi hii kama hawa uvccm.Wapuuzi wakubwa nyie, kipindi cha dikteta mlikuwa mnashangilia kuwa asisafiri leo mnashangilia safari
TafutaHuyu jamaa ni bonge ya Pastor. HUWA namcheki sana YouTube.