Rais Samia kuanza Ziara ya Siku 3 Nchini Ghana. Hii ni ziara ya 12 tangu aingie madarakani

Kuna shughuli gani ya kiuchumi, kibiashara au kiteknolojia kati ya Tanzania na Ghana?
Kikwete alitembelea kiwanda cha kusindika mananasi huko Ghana alipokuwa Rais na alipendezewa sana inasemekana; aliporudi akaenda shambani kwake Kibaigwa na akawaahidi wakwere wenzie kuwa angejenga kiwanda cha kusindika mananasi , mpaka anaondoka madarakani hakuna kitu!!
 
Ninachofahamu ni ule tu uhusiano wa Nyerere na Nkuruham ndio umeyafanya mataifa haya kuwa marafiki. Nipokuwa kule walikuwa wanapenda sana kujua kuhusu Tanzania, ni watu wazuri sana, hawana mambo mengi
Wanaonekana hawapendi kutembea tembea hovyo kama wa Nigeria na hata Raisi wao hasikiki sanaa, mifumo yao inaendana na nchi kama Bostwana, Namibia.
 
Wanaonekana hawapendi kutembea tembea hovyo kama wa Nigeria na hata Raisi wao hasikiki sanaa, mifumo yao inaendana na nchi kama Bostwana, Namibia.
Samia amelishwa miguu ya kuku na Kikwete ndio maana hatulii!
 
Kwani huyu jafari haniu Bado ajaondolewa pale mbna walimleta yule bint lutoka BBC sawahili sas Tena gafla jaffar ndio natupasha hbr za ikulu
 
Yetu macho
 
Iwapo anasafiri kwa tija, manufaa ya nchi na sababu zenye ueledi na ulazima aendelee tu. Tumuunge mkono vizuri na Mungu ambariki sana
 
Labda anafuata momerandam ya katiba yao Ili aunganishe na ya Warioba itoke kitu konki, roho inaniambia mh anataka katiba konki ya USA itakua Cha mtoto Ili atukomeshe makelele yetu, tunayompigia

KWa hili nami niongezee maoni yangu,

Mh tuletee katiba konki kabla ya 2025, chukua ya Warioba,ya Ghana, kenya ,USA na China ,hii inakipengele nakipenda ,KWa wanaovuja mali za umma wanyongwe mpaka wafe,
Alafu mchukue Mzee Warioba akusaidie kuunda kamati ndogo ya kuzichakata zote kuja na kitu kimoja, ila kamati iyo usikose wataalam wa mambo ya kikatiba TOKA nchi husika, lo

Mama utakua umeua, utatufunga ndomo Mara MOJA,

Asante roho mtakatifu ,na ukamjae pia mh mama katika maono mema KWa taifa la tz, imekua
 
Kuna aliyeenda uswisi lakini kimyaaaaaa,
Au kwa kuwa huyu ni mwanamke? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Chuki kwa kwenda mbele
Yule wa Uswisi amekwenda na mkewe , Pengine nae Hangaya angekwenda na sheikh Hafidh maneno yasingekuwepo!
 
Kwa hiyo kwa wastani ni kila mwezi ana safiri katika mwaka mmoja[emoji23]
 
Yule wa Uswisi amekwenda na mkewe , Pengine nae Hangaya angekwenda na sheikh Hafidh maneno yasingekuwepo!
Labda kama ameenda na nany au sister ila wife mmhhh, au askofu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hembu kwanza mtaje hapa,🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hii ni fursa kwa atcl kuangalia uwezekano wa direct flight za dar Accra, ikumbukwe Ghana hawana shirika la ndege, tunaweza omba kibali cha domestic routes, hasa Accra kumasi.
 
Ghana hawana ng'ombe na hawana samaki, pia Mchele huagizwa nje ya nchi, hii ni fursa mhimu ya kibiashara
 
Munataka tu watu waendelee kutukana.

Mfano, unaposema Mafanikio ya awamu ya sita ya ujenzi wa Miundo Mbinu ni yapi?

Embu mtufafanulie. au Haniu anajipendekeza ili arudishiwe uteuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…