Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema mama ataendelea kununua Magori ya simba na yanga kwenye match za kimataifa...
We jamaa relax... Simba na Yanga ni sehemu ya maisha yetu. Wakati wa JPM ulisapoti hata mambo ya hovyo. Bora ukakaa kimya.Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema mama ataendelea kununua Magori ya simba na yanga kwenye match za kimataifa...
Unajitoa ufahamu kwenye chama chenu cha mboga mboga?Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema mama ataendelea kununua Magori ya simba na yanga kwenye match za kimataifa...
Wewe ukisapoti sasa hivi kama unavyofanya inatosha kabisa maana ulikua ukipinga wakati wa Magufuli.Waliokuwa wanasapoti kila kitu wakati wa Magufuli ndo sasa wanapinga kila kitu...
Ajabu sana
Hana tofauti na Magufuli aliyekuwa anagawa mabulungutu yaheka kwenye gari. Sasa huyu amechagua kugawa uwanjani mwa mpira!Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa...
Hatukusikia ukilalamika wakati Magu alipokuwa anatembea na mabulungutu akiwagawia awapendao kuanzia Dar hadi ChatoLeo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa...
Wanyonge mshaanza, hii sio awamu yenu tulikubaliana hakuna wanyonge katika hii awamu.Hizo milioni tano ni asprini ngapi au madawati mangapi kule namtumbo??
Tunatofautiana mitazamo hivyo pengine yeye aliona ni sawa kwa Magufuli kugawa mihela vile na kuna ambao hawakuona ni sahihi wakahoji, na sasa yeye anaona si sahihi kwa Samia kuwa anagawa anatoa pesa kununua magoli hivyo anahoji na wewe kama sasa unaona ni sahihi tu anavyofanya Samia basi sawa. Wote ni muhimu kwa sababu kuna wengi ambao walikuwa wanahoji na kukosoa sana enzi za Magu ila sasa hawakosoi wala kuhoji tena hivyo tuwaache ambao wanakosoa na kuhoji sasa.Hatukusikia ukilalamika wakati Magu alipokuwa anatembea na mabulungutu akiwagawia awapendao kuanzia Dar hadi Chato
Maoni yako sasa ni yapi ni kwamba ni sahihi anachofanya Samia kwa sababu hata Magufuli nae alikuwa anagawa hela au kwamba si sahihi ila tusimlaumu kwa sababu hata Magufuli pia alikuwa anagawa hela?HANA TOFAUTI NA mAGUFULI ALIYEKUWA ANAGAWA MABULUNGUTU YAHEKA KWENYE GARI. SASA HUYU AMECHAGUA KUGAWA UWANJANI MWA MPIRA!
Magufuli alipokuwa akigawa mabulungutu haikuwa uhujumu uchumi, sio?Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa...
Mimi nina mawazo tofauti kidogo.Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.
Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini?
USSR View attachment 2526950