Rais Samia kuendelea kununua magoli ya Simba na Yanga sio uhujumu uchumi huu?

Rais Samia kuendelea kununua magoli ya Simba na Yanga sio uhujumu uchumi huu?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.

Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini?

USSR

FB_IMG_1677097679084.jpg
 
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema mama ataendelea kununua Magori ya simba na yanga kwenye match za kimataifa...
Unajitoa ufahamu kwenye chama chenu cha mboga mboga?

Wenzako wanaunga juhudi au hautaki buku 7?
 
Hizo milioni tano ni asprini ngapi au madawati mangapi kule namtumbo??
 
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa...
Hana tofauti na Magufuli aliyekuwa anagawa mabulungutu yaheka kwenye gari. Sasa huyu amechagua kugawa uwanjani mwa mpira!
 
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa...
Hatukusikia ukilalamika wakati Magu alipokuwa anatembea na mabulungutu akiwagawia awapendao kuanzia Dar hadi Chato
 
Hatukusikia ukilalamika wakati Magu alipokuwa anatembea na mabulungutu akiwagawia awapendao kuanzia Dar hadi Chato
Tunatofautiana mitazamo hivyo pengine yeye aliona ni sawa kwa Magufuli kugawa mihela vile na kuna ambao hawakuona ni sahihi wakahoji, na sasa yeye anaona si sahihi kwa Samia kuwa anagawa anatoa pesa kununua magoli hivyo anahoji na wewe kama sasa unaona ni sahihi tu anavyofanya Samia basi sawa. Wote ni muhimu kwa sababu kuna wengi ambao walikuwa wanahoji na kukosoa sana enzi za Magu ila sasa hawakosoi wala kuhoji tena hivyo tuwaache ambao wanakosoa na kuhoji sasa.
 
HANA TOFAUTI NA mAGUFULI ALIYEKUWA ANAGAWA MABULUNGUTU YAHEKA KWENYE GARI. SASA HUYU AMECHAGUA KUGAWA UWANJANI MWA MPIRA!
Maoni yako sasa ni yapi ni kwamba ni sahihi anachofanya Samia kwa sababu hata Magufuli nae alikuwa anagawa hela au kwamba si sahihi ila tusimlaumu kwa sababu hata Magufuli pia alikuwa anagawa hela?
 
Leo msemaji Mkuu wa serikali Gerson msigwa amesema Mama ataendelea kununua Magoli ya Simba na Yanga kwenye match za kimataifa.

Ina maa itakuwa ya kudumu hii, nadhani haijakaa sawa kimfumo wa fedha maana haijatamkwa kuwa ni kutoka kwenye mshahara wake au pesa zake binafsi au nini?

USSR View attachment 2526950
Mimi nina mawazo tofauti kidogo.

Rais ameonesha namna taifa linavyoweza kusspoti klabu zetu zinazoshiriki mashindano ya kimafaifa.

Pia ameonesha kuwa yeye ni mlezi mahiri wa mchezo wa soka.

Kuhusu ufisadi na uhujumu uchumi nakataa kwa sababu kwa mujibu wa sheria ya fedha 2022/2023 imetenga fedha za kumuwezesha kufanya extraodinary expendotures kupifia vote #20.

Ukitaka kumlalamikia na kumlaumu rais angalia sheria zinazorandana na kila analolitenda kwa sababu yeye ni taasisi iliyokamilika.

I rest my case
 
Back
Top Bottom