Lech Poznan
JF-Expert Member
- Jul 3, 2025
- 783
- 1,211
Russia na China ni matapeli, Warusi hawapendi kuwekeza Afrika na siyo watoa pesa na kukuta Warusi wamewekeza Tanzania au East Africa ni ngumu sana.Naona kaamua kuwatumia ujumbe kina Cruz na Trump wapitishe na kusaini ule muswada kuhusu Tanzania haraka.
Ndiyo basi tena tunaenda kuwa Zimbabwe nyingine.
Siku za Mwisho za "kufa" Zimbabwe, Mugabe alikwenda sana Russia
Ya mwisho alikwenda 2015
Russian foreign minister commends Mugabe’s contribution to bilateral ties' establishment
Robert Mugabe, Zimbabwe’s President from 1987 to 2017, died on Friday at the age of 95tass.com
Unauliza au unapigia Jibu mstari?Kwa hiyo kwenu nyie ukialikwa na USA na Europe ndo unakuwa na hadhi.
Amearikwa ndio nini?Hapo kwenye Amearikwa😄😄
Huko Russia ataishia kwenda kuuziwa silaha zilizo expire, na kupewa sumu za kuwekea wapinzani, na kuongezewa mbinu za utekaji. Hakuna lolote la maana atapata toka Russia.Omba omba Hana likizo. Na ndio kitu anacho weza kufanya kwa moyo wake. Lakini ichi anayo tokea ni tajiri mno. Sema ndio ivyo tena. Taifa liko mateka.
Kazi ni kipimo cha utu
Kule ndipo kuna Mapesa, Russia na China hakuna MapesaKwa hiyo kwenu nyie ukialikwa na USA na Europe ndo unakuwa na hadhi.
Kuna mkataba mpya unakwenda kusainiwa kuhusiana na Liganga na Mchuchuma muda wowote kuanzia sasa.Omba omba Hana likizo. Na ndio kitu anacho weza kufanya kwa moyo wake. Lakini ichi anayo tokea ni tajiri mno. Sema ndio ivyo tena. Taifa liko mateka.
Kazi ni kipimo cha utu
Kweli. Basi inatosha kabisa nyie CHADEMA mkawa na hadhi kwa sababu mko na wazungu. CCM haina hadhi kwa kuitwa na Warusi, wachina na Waarabu. Ila nikukumbushe tu ht wazungu sasa hv wanaramba viatu vya Waarabu. Ni juzi tu Fainali kubwa ya UCL imepigwa team moja inatangaza Fly Emirates na nyingine ni ya Mwarabu inatangaza Qatar Airways.Unauliza au unapigia Jibu mstari?
Mko vizuri kumfatilia Samia kuliko ht wanaCCM wenyeweHuko Russia ataishia kwenda kuuziwa silaha zilizo expire, na kupewa sumu za kuwekea wapinzani, na kuongezewa mbinu za utekaji. Hakuna lolote la maana atapata toka Russia.
Shahada ni za darasani ile zero haiwezi kufunikwa na shahada 100 za mezani.
Maccm kwa illegal president kwenda Urusi itawapa faraja baada ya massacre yaoPutin yeye mwenyewe bado anaangaika na ukraine ndio aje akusaidie wewe
Kwenye pesa ni kwa waarabu kwa sasa that's why ht wazungu wanawaita wanawaita waarabu kwaoKule ndipo kuna Mapesa, Russia na China hakuna Mapesa
DAR ES SALAAM — Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Russia kuanzia Juni 3 hadi 5, 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ziara hiyo itakuwa ya pili kufanywa na Rais wa Tanzania nchini Urusi tangu Hayati Julius Kambarage Nyerere alipozuru taifa hilo mwaka 1969, takribani miaka 57 iliyopita.
Wakati wa ziara hiyo, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin kuhusu kuimarisha ushirikiano katika biashara, uwekezaji, elimu, sayansi na teknolojia, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Aidha, Rais Samia atashiriki na kuhutubia Jukwaa la 29 la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF 2026), moja ya majukwaa makubwa duniani yanayowakutanisha viongozi wa serikali, wawekezaji, taasisi za kifedha na wadau wa sekta binafsi kujadili masuala ya uchumi na maendeleo.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
View attachment 3599431
Wanatoa bunduki na second hand military crafts kwa nchi za Kafrika ili tuuane wenyewe kwa wenyeweRussia na China ni matapeli, Warusi hawapendi kuwekeza Afrika na siyo watoa pesa na kukuta Warusi wamewekeza Tanzania au East Africa ni ngumu sana.