Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

nchi inakwenda kufunguka kwa kishido

chadema hawaamini macho yao ni kama wamepoteza fahamu kwa kweli
 
God damn zati demon-possessed bi+ch! Kwani Russia imeumbwa leo? Kabla hajayatimba, fazafaka alikuwa anazurura Ulaya na Marekani tu as though Russia didn’t exist. Alikuwa kiguu na njia—anajialika yeye mwenyewe!

Chawa wake kirini tu kwamba fazafaka ameshapoteza option ya kuzurura na bakuli lake Ulaya na Marekani. Otherwise, mwaka huu angekuwa ameshaenda huko countless times.
 
Hakika umenena jambo, kweli huyo aliyemshahuri hamtakii mema kabisa hapa mabeberu watamchukulia kama ni kiburi.
 
Naunga mkono hoja, by the way China na Russia hawajawahi kuwa washirika wazuri, cheki kilichomkuta Maduro
 
Obama kwa mara ya kwanza alitembelea Tanzania kwa nchi za Afrika je tulikua tumejipata
 
Nchi gani zinafata rule of law, marekani?..kwenda kumng'oa rais wa Venezuela ni rule of law?.. kupiga boti za wavuvi ni rule of law?..kumpa Israel silaha aue watu 70k+ ni rule of law?
 
Nchi gani zinafata rule of law, marekani?..kwenda kumng'oa rais wa Venezuela ni rule of law?.. kupiga boti za wavuvi ni rule of law?..kumpa Israel silaha aue watu 70k+ ni rule of law?
Hatuzungumzii international rule of law hapa. Tunazungumzia the most basic rule of law (domestic rule of law), which is the fundamental principle of democratic governance in a country. Kiongozi anayesigina constitutional rights (including the scared right to life) za raia wake ili yeye aendelee kutawala ni msaliti wa kiwango cha juu sana!
 

TOKA MAKTABA :

Tanzania yazidi kuvutia nchi za Ulaya ya Mashariki

24 October 2024

Tanzania yaigeukia mshirika mkuu wa Russia, nchi ya Belarus


kuu Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Belarus nchini Tanzania Pavel Vziatkin mwenye makazi yake Nairobi nchini Kenya kwa mazungumzo ya pande mbili kuhusu uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Katika kikao cha Alhamisi kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu jijini Dar es Salaam, Majaliwa aeleza dhamira ya Tanzania ya kuendeleza uhusiano wa nchi hizo mbili na Belarus kwa manufaa ya pande zote.

"Tanzania itaendelea kushirikiana na Belarus katika sekta ya madini, afya, utalii, kilimo na biashara kwa manufaa ya nchi zote mbili," ilisoma taarifa kutoka ukurasa rasmi wa Instagram wa Waziri Mkuu.

Mkutano huo unakuja siku mbili baada ya Balozi Vziatkin kufanya kikao cha maelewano na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Cosato Chumi, katika mji mkuu wa Dodoma.

Wawili hao walipendekeza kusaini Mkataba wa Maelewano (MoUs) na kubadilishana ziara ili kuimarisha kwa kiasi kikubwa uhusiano baina ya nchi hizo huku wakizingatia mienendo ya kimataifa.

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Belarus ulianza mwaka 1996 na kufikia kilele mwaka 2016 ambapo Oktoba 31, nchi hizo mbili zilifanya Kongamano la Biashara la Belarusi na Tanzania mjini Minsk, ambapo Mkataba wa Ushirikiano ulitiwa saini kati ya Kituo cha Taifa cha Masoko cha Belarus. Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA).

Mnamo mwaka wa 2017, Belarus iliwasilisha rasimu mbalimbali za Makubaliano kwa serikali ya Tanzania ili kuzingatiwa katika maeneo yanayohusiana na uhusiano wa nje, elimu na biashara. Walakini, hakuna habari inayoonyesha kuwa serikali hizo mbili zilikamilisha Makubaliano haya kuanzia leo.

Mnamo Januari mwaka huu, ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Belarusi na wawakilishi kutoka Chemba ya Wafanyabiashara wa Belarusi waliitembelea Tanzania. Walikutana na wenzao kutoka Chemba ya Wafanyabiashara, Wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA). Ujumbe huo ulionyesha nia ya kushirikiana na wafanyabiashara wa Tanzania.

Kiwango cha biashara kati ya nchi hizo mbili bado ni cha kawaida. Ilifikia kilele mwaka 2017 wakati Tanzania ilipouza nje bidhaa zenye thamani ya dola milioni 46.6 na kuagiza takriban dola za Marekani milioni 1.3 kutoka Belarus. Hata hivyo, uhusiano wa kibiashara unaonekana kupungua, ambapo Tanzania iliuza nje dola za Marekani milioni 4.8 na kuagiza dola milioni 4 mwaka 2021
 
TOKA MSKTABA :

28 October 2024

View: https://m.youtube.com/watch?v=7C4qDNifPQ0
DAR ES SALAAM. Oct 28 (Interfax) - Russia and Tanzania are capable of doubling their trade, and Russian businesses display an interest in joint projects in energy, agriculture, infrastructure, and tourism, Russian Economic Development Minister Maxim Reshetnikov said while meeting with Tanzanian Prime Minister Kassim Majaliwa.

A Russian delegation led by Reshetnikov arrived in Tanzania on Monday to take part in the first meeting of the Russian-Tanzanian intergovernmental commission on trade and economic cooperation, which is set for Tuesday.

"We stand ready to help the Tanzanian economy maintain the high pace that has been achieved in the energy, agriculture, infrastructure development, and tourism sectors," Reshetnikov said, adding that around 50 Russian companies are taking part in a Russia-Tanzania business forum these days.

"Mutual political and diplomatic understanding between our countries provides good preconditions for stepping up trade and economic interaction. There is considerable unused potential. According to our estimates, trade between our countries could double," Reshetnikov said while meeting with Majaliwa.

He mentioned reliable historical relations between the Russian and Tanzanian governments, business communities, and individuals.

Tanzanian businesses have displayed a huge interest in Russia, and Russian businesses are willing to enter new markets, invest in joint projects, and share technology, he said.

Tanzanian Prime Minister Majaliwa said that, over the 63 years of cooperation between the two countries, Russia has proved to be one of his country's most valuable partners.

Tanzania looks forward to Russia's support in resuming efforts to bolster ties in the economy, trade, investment, tourism, education, and culture fields, Majaliwa said.

The two countries signed an agreement on commercial air services in June, which is an important landmark in promoting trade investments, particularly in the travel sector, he said.

The number of Russian tourists visiting Tanzania has been growing in the past five years even despite the pandemic, he said.

Majaliwa invited representatives of Russian companies to visit Tanzania and explore investment opportunities existing in his country
 
TOKA MAKTABA:
09 February 2026

RUSSIA-TANZANIA TALKS LIVE | Russia Deepens Ties With Key African Nation | Breaking News​



View: https://m.youtube.com/watch?v=wBVwrjG_W0ERussian Foreign Minister Sergey Lavrov held high-level diplomatic talks with his Tanzanian counterpart, Mahmoud Thabit Kombo, , aiming to bolster the strategic partnership between Moscow and the key East African nation. The bilateral meeting focused on expanding economic cooperation, trade, investment, and potential military ties, underscoring Russia's broader push to increase its geopolitical influence across the African continent. This official visit is seen as a significant step in strengthening Russia-Africa relations ahead of future summits, as Moscow seeks to build new alliances amid a shifting global order and competition with Western powers.

09-02-2026

Mr Minister,

It is a pleasure to receive you.

I am ready to accept the message entrusted to you.

The communication from President of Tanzania Samia Suluhu Hassan will be conveyed without delay to President Vladimir Putin.

We eagerly await the visit of President Samia Suluhu Hassan to Russia. She holds an invitation. As soon as she identifies suitable dates, we will be delighted to welcome her to our country. I trust you will accompany her.

I must emphasise that our two nations share a long history of relations. This year marks the 65th anniversary of the establishment of diplomatic relations between the Russian Federation and Tanzania. Today, we can discuss the commemoration of this milestone – through the exchange of messages, as well as various events and exhibitions.

I wish to note my satisfaction with the close cooperation between Russia and Tanzania in international fora, notably the United Nations, as well as within the framework of the Russia–Africa strategic partnership.

We are presently negotiating the dates and venue for the third Russia–Africa Summit. As you will recall, we have also instituted a ministerial-level meeting format. The first Ministerial Conference of the Russia–Africa Partnership Forum was convened in Sochi in November 2024, followed by the second conference in Cairo in December 2025.

There are many subjects which it would be productive to discuss today with a view to further strengthening our collaboration. I look forward to hearing your assessments regarding our bilateral cooperation across the economic, commercial, financial, cultural, and educational domains.

It is a pleasure to welcome you once again
 
Uranium hiyo 📞
 
Wakati kama huu ambao ni kama tuna Ugomvi baridi na Kaka Mkubwa (USA) Sioni ulazima wa kwenda Urusi Ambapo ukiangalia Kwa jicho Kali unaona kama ni Usinitch
 
Hili li hippopotumus natamani sana lifie huko huko. Shenzi sana.
Hilili hippopotumus natamani sana lifie huko huko. Shenzi sana. Natamani ataoke ISIS mmoja akalilipue na bomu
 
nchi inakwenda kufunguka kwa kishido

chadema hawaamini macho yao ni kama wamepoteza fahamu kwa kweli
Wewe una mtindio wa ubongo. Yaani kutembelea nchi maskini kama russia ndo unasema Tanzania inakwenda kufunguka
 
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu
Usihadaike na maigizo.

Huyo mtu unayemwona kwenye picha hiyo kaoza ndani kwa ndani.
Hicho kiombe alichoshika hapo ndani yake anaiona damu ya waTanzania aliyoimwaga.

Hivi ni heshima gani ambayo hutolewa kwa mtu kuua binaadam wenzake?

Hicho chuo tukiwadadisi watueleze hiyo tuzo wanayotoa inahusu nini watatueleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…