Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

JK party 2
Jamii ya pwani haifai kabisa kupewa mamlaka makubwa kuongoza nchi...wanapenda sana sherehe na kusafiri!.
Uongozi wa Sa100 na ule wa JK unashabihiana sana kwa mengi!.
Napenda kukwambia kuwa Rais wetu kipenzi hasafiri na kwenda nje ya Nchi kama mtalii ,bali anakwenda kwa manufaa ya Taifa letu.ndio maana katika safari na ziara hiyo atafanikisha upatikanaji na makubaliano ya mkopo wa masharti nafuu kabisa ya Dolla Billion 2.5 kwa ajili ya kuwekeza katika miradi mbalimbali ya maendeleo,ambayo itazalisha fursa mbalimbali za ajira kwa vijana, kuchochea maendeleo,kutoa huduma kwa watu,
Hao mamilioni ya watz ulikutana nao wapi wakakuambia wanamuunga mkono sa100?!.
Jiongelee wewe na uchawa wako, usiuhusishe na wengine.
Endelea kuishi kijima na mawazo ya kijima.
 
Tunamtakia Kila la heri Rais Samia kwenye ziara hiyo ya mdau Wetu muhimu wa Maendeleo Korea Kusini.

Ikiwezeoana Awapatanishe Kim wa North Korea na South Korea.



Mwanadiplomasia namba 1 na Bingwa wa Biashara na Uchumi 👇👇

View: https://twitter.com/mfa_tanzania/status/1795450881489387676?t=uQx9AM40cFkizIrgBgoIeg&s=19

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1795696625605640647?t=135X6E_LYITs49bY3-05Aw&s=19

Una akili ww"?
 
Haya ni matakwimu yenu ya kupika kumdanganya huyo mama, mie naongelea kwa ushahidi hali halisi ilivyo huku site!.
Mzunguko wa pesa uko chini sana kibiashara zote, thamani ya pesa yetu bado inazidi kuporomoka chini.
Sasa hv kufanya biashara na nchi majirani kama Kenya na Uganda ni ngumu kwasabb pesa yetu iko hoi dhidi ya pesa yao...kuanzia mwaka jana kurudi nyuma haijawahi kuwa ktk hali hiyo.
Ni kweli mkuu .
Mzunguko wa fedha ni mdogo.

Wafanya biashara wakubwa tu walio karibu na mamlaka ndio wananufaika na watumishi wengine wa serikali.

The rest of the population ni struggles tu.
 
 
Tuliza kichwa na anza kufikiri kwa kutumia ubongo usitumie makalio kufikiri.Hizo nchi ukilinganisha na bongo ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu. Budget ya kwenu inategemea misaada kwa 99.9%, hizo nchi ulizozitaja hapo ndio zinazowapa hio misaada. Jitafakari kabla hujaandika pumba zako hapa.
Umejibu kwa hoja nzito sana.
 
Hakuna ukweli wa aina yoyote ile hapo zaidi ya porojo tu.
Hakuna siku unakubali ukweli unapozidiwa. Kama unabisha kuwa kwenye miaka ya 1960 Korea Kusini hawakua na hali ya kiuchumi isiyopishana sana na nchi yetu tofauti na ilivyo sasa basi sitabishana na wewe katika hili. Jifunze kukubali ukweli hata kama huupendi.
 
Back
Top Bottom