Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

JK party 2
Jamii ya pwani haifai kabisa kupewa mamlaka makubwa kuongoza nchi...wanapenda sana sherehe na kusafiri!.
Uongozi wa Sa100 na ule wa JK unashabihiana sana kwa mengi!.
Napenda kukwambia kuwa Rais wetu kipenzi hasafiri na kwenda nje ya Nchi kama mtalii ,bali anakwenda kwa manufaa ya Taifa letu.ndio maana katika safari na ziara hiyo atafanikisha upatikanaji na makubaliano ya mkopo wa masharti nafuu kabisa ya Dolla Billion 2.5 kwa ajili ya kuwekeza katika miradi mbalimbali ya maendeleo,ambayo itazalisha fursa mbalimbali za ajira kwa vijana, kuchochea maendeleo,kutoa huduma kwa watu,
Hao mamilioni ya watz ulikutana nao wapi wakakuambia wanamuunga mkono sa100?!.
Jiongelee wewe na uchawa wako, usiuhusishe na wengine.
Endelea kuishi kijima na mawazo ya kijima.
 
Una akili ww"?
 
Ni kweli mkuu .
Mzunguko wa fedha ni mdogo.

Wafanya biashara wakubwa tu walio karibu na mamlaka ndio wananufaika na watumishi wengine wa serikali.

The rest of the population ni struggles tu.
 
 
Umejibu kwa hoja nzito sana.
 
Hakuna ukweli wa aina yoyote ile hapo zaidi ya porojo tu.
Hakuna siku unakubali ukweli unapozidiwa. Kama unabisha kuwa kwenye miaka ya 1960 Korea Kusini hawakua na hali ya kiuchumi isiyopishana sana na nchi yetu tofauti na ilivyo sasa basi sitabishana na wewe katika hili. Jifunze kukubali ukweli hata kama huupendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…