jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Anaenda kutembeza kopo..ili mgao uende zenji..kisha watanganyika walipe deni.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo zenj au bara? Kama zenj sawaSafari njema mh.SSH ,,ukirudi tuletee vya Ulaya.
Mbona barua haisemi anaondoka liniRais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani...
Yap, nimeona hicho kitu aseee na kuna kitu nime_note sehemu nyingi ambazo Dr. Hussein akienda anapeperusha bendera ya 🇹🇿 na siyo ya Zanzibar.Hii ziara ni faida kwa Zanzibar. Hongera zenji
Safari njema mh.SSH ,,ukirudi tuletee vya Ulaya.
Una uhakika ilani ya CCM haijaongelea uchumi wa blue au unabwabwaja tu mkuu?Rais anatekeleza ilani ya ccm. Kwenye ilani ya ccm bara hakuna habari za uchumi wa blue. Habari hizo utazipata kwa Rais mwinyi Zanzibar. So ziara hii inaibeba zanzibar
Amsalimie Tundu huko UbeleshiRais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani...
Atarudi na nini sasa [emoji23][emoji23]Anaenda na ndege ya ATCL wasije ikamata huko
Anaenda na ndege ya ATCL wasije ikamata huko
Kama ataleta kikubwa zaidi ya hicho hakuna tatizo. Kumbuka ziara ya obama aliye paa na watu zaidi ya 800 bila kutaja walinzi na wana usalama waliotangulia na vifaa mbalimbaliMbona wanaficha ndege? Amechukua DREAMLINER ya ATCL nini? Kama ni hivyo hayo yatakuwa matumizi mabaya ya rasilimali za nchi!! Kuchukua ndege na kwenda kuisimamisha ikingoja mpaka ziara iishe ni gharama kubwa sana jamani.