Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Vumilia tu kama unaumia pesa ikienda kwa wazenji, chuki za kitoto hazikusaidii. Umeshasahau miaka michache iliyopita kila kitu kilivyokuwa kinapelekwa Chato?.Kuongezewa tozo..kuongeza mikopo na kuwapa wazenji mgao mkubwa kupindukia..huku wazenji wakifutiwa ada za kuunganisha umeme wakati watanganyika ada za umeme zikiongezwa..au unaongelea yepi wewe mchamba wima.
#MaendeleoHayanaChama
Mtanzania katika ubora wake wa kukosoa. Tembea huko mikoani uone miradi mikubwa ya kimaendeleo inayoendelea kumalizika.Samia ameshindwa kuushawishi Ulimwengu kwenye kuzingatia haki. Ameshindwa kupata mwaliko wa nchi yoyote miongoni mwa yale mataifa yanayozingatia haki na demokrasia...
Ndio nini hizo mkuu, usikute ni "mibagia" flani expensive kutoka Paris na Brussels...Safari njema. Ukirudi usisahau kutuletea fromage na baguette.
Ndio nini hizo mkuu, usikute ni "mibagia" flani expensive kutoka Paris na Brussels...
Mhum! Mabeberu!! Atamsalimia na Tundu Lissu?Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani...
Kuna uongo hapo..?
Chato ni Tanganyika..zenji sio Tanganyika..chato hakuna serikali...hata akili kumbe huna unashindwa kutofautisha mambo madogo kama hayo..ukitoka mtwara ukienda chato unaishi kama mtwara..mana utapata kununua ardhi utajenga..nikuulize wewe mmatumbi. ukienda zenji..huna nafasi yakumiliki hata kipande cha ardhi..picha linaanza huna kitambulisho cha ukaazi.Vumilia tu kama unaumia pesa ikienda kwa wazenji, chuki za kitoto hazikusaidii. Umeshasahau miaka michache iliyopita kila kitu kilivyokuwa kinapelekwa Chato?.
Umesahau nguvu tuliyotumia kuitetea Chato?. Hii ni awamu nyingine mkuu.
Tanganyika ni Tanzania. Ondokana na roho za kibaguzi za sisi na wao, mwisho wake huwa mbaya.Chato ni Tanganyika..zenji sio Tanganyika..chato hakuna serikali...hata akili kumbe huna unashindwa kutofautisha mambo madogo kama hayo..ukitoka mtwara ukienda chato unaishi kama mtwara..mana utapata kununua ardhi utajenga..nikuulize wewe mmatumbi. ukienda zenji..huna nafasi yakumiliki hata kipande cha ardhi..picha linaanza huna kitambulisho cha ukaazi.
#MaendeleoHayanaChama
Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani...
Kipi bora kwenda nayo au inavyokuwa imekaa na kupaki bila kazi yoyote pale JNIA?Mbona wanaficha ndege? Amechukua DREAMLINER ya ATCL nini? Kama ni hivyo hayo yatakuwa matumizi mabaya ya rasilimali za nchi!! Kuchukua ndege na kwenda kuisimamisha ikingoja mpaka ziara iishe ni gharama kubwa sana jamani.
Kipi bora kwenda nayo au inavyokuwa imekaa na kupaki bila kazi yoyote pale JNIA?
Acha atembeze bakuli.Kwa maraisi wengi Duniani ziara ya 2-3 ni kubwa sana, sasa sisi Raisi anakaribia wiki nje ya nchi na hakuna at least sijasikia updates zozote kuhusu anachofanya, ni kwa nini ?