Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mwinyi si iko chini ya united Republic of Tanzania kule ajulikani kama Raisi anajulikana kama mkuu wa mkoaPesa za kuchezea zipo bara pekee, mbona Mwinyi hasafiri?
Siamini, mabalozi kwanini huwa wanaenda kujitambulisha kwake?Kwani Mwinyi si iko chini ya united Republic of Tanzania kule ajulikani kama Raisi anajulikana kama mkuu wa mkoa
Unajua unachoongea au unabisha tu? Kwa hiyo mfano tukizungumzia wanachama wa EAC, AU na UN tunazungumzia Zbar?Siyo kweli, Mwinyi ni Rais kama marais wengine na Zanzibar ni nchi kamili
Issue sio kusafiri, issue tija inayotokana na safari. Kama matokeo tunayaona then hilo ni jambo jema sana.Huyu Mama Anasafiri zaidi ya Wana-Waisraeli Nyie🙌
Moja ya majukumu ya msingi ni kuiunganisha Tanzania na jumuia za kikanda na kimataifa pamoja na kuimarisha ushirikiano na nchi nyingine.Kwenda Uganda ndiyo jukumu la msingi?
"Kutulia" unakusudia asifanye majukumu yake amma? Yaani watu wakifanya kazi 'manun'guniko', wasipofanya 'malalamiko'.tujenge tabia ya pale linapofanyika jambo jema tunaapreciate kama incentive kwa wafanyaji ili wapate motisha wa kufanya vyema zaidi.Aisee!
Kazi tunayo. Kwamba huyu hawezi kutulia hata kidogo kweli?
Mkuu ule mradi wa bomba la mafuta unauchukulia powa au ndio vile mmeamuwa tu kumchukia huyu mama?yaani sijui hata hachoki kukaa kwenye ndege?
Acha wivuHawezi tulia kwake huyu
Ukialikwa unalipiwa kila kitu, ukijipeleka walipia kila kituJana si mmesema atabana matumizi kupunguza ukali wa maisha hadi June 1.
Aisee ama kweli tutazidi kutozwa tu
Tulishakubaliana humu huo mradi jiwe alikurupuka. Hauna maanaMkuu ule mradi wa bomba la mafuta unauchukulia powa au ndio vile mmeamuwa tu kumchukia huyu mama?
Wala issue siyo hiyo, Watanzania wajifunze kustudy kwanza miradi kama hilo bomba la Mafuta Ohima kwenda Chongwereni, ni Museveni ndio anawanufaisha Watanzania kwa ajira na commission.Moja ya majukumu ya msingi ni kuiunganisha Tanzania na jumuia za kikanda na kimataifa pamoja na kuimarisha ushirikiano na nchi nyingine.
Kwa kuwa Museven alishakuja, Mama kwenda ni busara ya kawaida sana. Fikiria wewe uwe na rafiki yako, kila sio unaenda kwake, yeye kwako hakanyagi, utamtafsiri vipi?
We are winners, economic Diplomatic, mama afuati ushauri kwa Museven, ni bora muwe mnakaa kimya kuficha upumbavu wenu.Museveni alikua rais kipindi Cha Mwinyi senior.
Akawa rais kipindi Cha Mkapa, Mkapa akastaafu, akafa, akazikwa.
Akawa rais kipindi Cha kikwete, kikwete akastaafu ametulia Msoga.
Museveni huyo huyo akawa rais kipindi Cha mwendazake, mwendazake akafa, akazikwa.
Museveni Tena ni rais kipindi Cha mama. Je mtu huyu atamshauri kitu gani mama yetu?
Nakubaliana na wewe mkuu. Tatizo roho mbaya tu ndio maana pia tu na wachawi wengi maana hatua ya juu ya roho mbaya ni uchawiWala issue siyo hiyo, Watanzania wajifunze kustudy kwanza miradi kama hilo bomba la Mafuta Ohima kwenda Chongwereni, ni Museveni ndio anawanufaisha Watanzania kwa ajira na commission.
Kuna watu roho zao zimejaa chuki tupu.
Tatizo kubwa la Watanzania ni roho mbaya, pita sehemu bila kusalimia watakuchukulia powa tu, ila nunuwa gari halafu wapite bila kusalimia ndio utawajuwa waja.
Halafu Wabongo washkaji zako tu ukiwa na vichaneli vinaanza kunyooka ela tu ya kubadili mboga wanaanza kukuchukia na maneno kibao.
Watanzania ndivyo walivyo, kinachowasumbuwa ni roho mbaya.
Nieleze kwa kifupi sana hauna faida kivipi?Tulishakubaliana humu huo mradi jiwe alikurupuka. Hauna maana