Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

SSH is so naive, hopefully wahusika watamshauri vizuri kabla ya tar 5 asije enda ropoka chochote ili tu kuwa please Wakenya while watz wanaumia. Akisifiwa na yoyote anaona anampenda kumbe anamchota.
Mama huwa haropoki na kukurupuka. Yuko makini na taratibu sio kama mwendazake mpenda sifa. Rejea maombi ya Chato kuwa Mkoa na mishahara ya watumishi.

Madame President namuamini
 
Soko huria hapo lipo wapi sasa? Kampuni ya voda ni mali ya Tanzania hadi ipangiwe nani awe kiongozi wao mkuu?

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
Ungekuwa unakaa Arusha, Kilimanjaro au Tanga ndio ungejua umuhimu wa biashara kati ya Kenya na Tanzania.

Wewe upo Namtumbo huko umevimbiwa supu ya utumbo wa nguruwe unaweza kuandika chochote unachotaka.
Kabisa hawa jamaa wanaridhishana kwamba sisi kutokuwa nauhusiano mzuri na Kenya ni ujanja wakati kuna watu huu ujirani unatupa unafuu wa maisha kupitia business

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
 
SSH is so naive, hopefully wahusika watamshauri vizuri kabla ya tar 5 asije enda ropoka chochote ili tu kuwa please Wakenya while watz wanaumia. Akisifiwa na yoyote anaona anampenda kumbe anamchota.
Women's psychology.... Uhuru anajua namna ya kucheza nao
 
Yaani Rais kuwa na Ziara ama State Visit au Official Visit katika nchi nyingine Kwako Wewe ni Jambo la Kukushtua na hata Kukushangaza?
Bado akili zimeganda kama ilivyo kawaida yako?

Ni wapi niliposhtuka au kushangaa?

Hata hivyo, juhudi za 'moderator' katika kurekebisha kichwa cha habari ya mada niliyoweka, pamoja na kutambua lengo, kurekebisha huko kumepoteza maudhui ya mada iliyowekwa.
 
Kabisa hawa jamaa wanaridhishana kwamba sisi kutokuwa nauhusiano mzuri na Kenya ni ujanja wakati kuna watu huu ujirani unatupa unafuu wa maisha kupitia business

Sent from my TECNO CF8 using JamiiForums mobile app
Business ipo Kenya peke yake?

Mbona hujaenda Uganda au DRC?

Wewe unafanya 'business' au una mambo mengine na hao unaoshirikiana nao huko?
 
Kuishi vyema na jirani haimaanishi tukubaliane nao katika kila jambo wanalotaka tulifanye.

Tuwe na misimamo yetu na tulinde vyetu kwa manufaa yetu na vizazi vyetu.

National Interest first.
Na siyo swala la "kukubaliana nao" pekee.

Jirani anayefanya kila njia ya kukuchimba, na kukutumia kwa manufaa yake na wewe hata akili za kujitambua usiwe nazo?
 
Kenya ni ndugu zetu kabisa, hii mipaka ilichorwa na mabeberu
 
Tanzania itaiuzia nini Kenya zaidi ya mazao ghafi?
Kuna umuhimu wa ushirikiano na Kenya kibiashara lakini Kenya nayo iweke mazingira sahihi kwa Tanzania kufanya biashara na Kenya.
 
Maskini kushadadia vita vya kibiashara ni wendawazimu.
 
Kuweka mazingira mazuri ya kibiashara na uhusiano na Kenya kwa ujumla ni muhimu sana kwa ustawi wa Tanzania kama nchi.
 
Kenya ni ndugu zetu kabisa, hii mipaka ilichorwa na mabeberu
Ndugu zako wote sio lazima wawe watu wazuri kwako.
Tanzania itaiuzia nini Kenya zaidi ya mazao ghafi?
Kwa hiyo una maana hata hayo mazao ghafi usimuuzie "ndugu yako"?

Huyo ndugu yako ana nini cha kuiuzia Tanzania?
Maskini kushadadia vita vya kibiashara ni wendawazimu.
Kwa hiyo ashangilie/asherehekee anapoumizwa kutokana na bidhaa zake kunyimwa soko, hata kama hana chochote cha maana cha kumuuzia huyo "ndugu yake"?
 
Kuweka mazingira mazuri ya kibiashara na uhusiano na Kenya kwa ujumla ni muhimu sana kwa ustawi wa Tanzania kama nchi.
Sio na Kenya pekee.

Inatakiwa tufanye juhudi kubwa zaidi na majirani zetu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…