Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Uchaguzi utafanyika na CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Ninyi endeleeni kuvurugana na kuraruana huko wakati CCM ikiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania na kufanya maandalizi mazito mazito. Mkimaliza kutoboa mtumbwi wenu na kuzama mtakuta tupo kwenye sherehe za Uapisho wa Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanNo reform, no election.
Awe mtulivu na mwenye subira maana hakuna atakayebakia Mtaani pasipo ajira wakati huu wa uongozi wa Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Shule zinaendelea kujengwa na hivyo walimu wataendelea kuhitajika na serikali itaendelea kutoa ajira za waalimu kwa kadri bajeti na uchumi utakavyo ruhusu. Ni katika hali hiyo ambapo kijana wako naye ataweza kuingia katika utumishi wa umma .Ndaga Lucas Mwashambwa, nisogezee Jina la kijana wangu, he is a teacher ajira ndo hamna
Usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa.Awe mtulivu na mwenye subira maana hakuna atakayebakia Mtaani pasipo ajira wakati huu wa uongozi wa Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Shule zinaendelea kujengwa na hivyo walimu wataendelea kuhitajika na serikali itaendelea kutoa ajira za waalimu kwa kadri bajeti na uchumi utakavyo ruhusu. Ni katika hali hiyo ambapo kijana wako naye ataweza kuingia katika utumishi wa umma .
exemplo.
Photo : Tundu Lissu líder do partido Chadema
Uwe na imani na serikali ya Rais Samia .ambayo inaendelea kufanya kazi usiku na mchana kugusa Maisha ya watanzania na kuleta tabasamu na matumaini kwa wote. Hakuna Atakayeachwa nyuma katika uongozi wa Mama.Usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa.
But NAWATAKIA kila la heri huko safarini
Marekani siyo Mbinguni wala Mlango wa Mbinguni.Naona toka kile kimama cha USA kipigwe chini sahivi USA anaiona kwenye bomba tu😁😁😁
Angola kuna mbeijing kashinda urais
HakikaNo reform, no election.
No reform, no election.Uchaguzi utafanyika na CCM itashinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima. Ninyi endeleeni kuvurugana na kuraruana huko wakati CCM ikiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania na kufanya maandalizi mazito mazito. Mkimaliza kutoboa mtumbwi wenu na kuzama mtakuta tupo kwenye sherehe za Uapisho wa Rais wetu Mpendwa na kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Vyombo mbalimbali vya habari vya Kimataifa vimeweka Kambi kusubiri ujio wa Rais Samia Nchini Angola.Kweli kabisa Africa nzima kiongozi?Usisahau pia vyombo vya habari vya kimataifa kama CNN,BBC,Aljazeera,FOX watakuwa live kwenye hili tukio la kidunia.
HOVYO KABISA
Rais Samia ni kama ndiye anaiongoza Afrika kwa Sasana yeye watamrudisha
Endeleeni kujitekenya na kujichekesha wenyewe.No reform, no election.
kizimkazi tu imemshindaRais Samia ni kama ndiye anaiongoza Afrika kwa Sasa