Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

Mbona China wanakuja huku wanazungumza ki China? Putin kwenye mikutano ya kimataifa anazungumza ki Russia, unafikiri hata mkalimani angekosa? anyway kiingereza sio sifa wala pesa au kipimo cha akili.

Tuacheni fikra za kitumwa ndugu zangu.
Huna ulijuwalo, Rais kutoka common wealth lazima ujue fluently English, msihamishe magoli.

Huyo Putin anajuwa kingereza Fluently, siyo kile cha deliver your passport and we are dona kantre.
 
Sitashagaa vasco da gama Jakaya Kiwete atakuwa kwenye msafara huu
 
inchaji,
Teke la punda anayekufa hili......ndo maneno yenu yaliyobaki. Poleni maana yanaunguza moyo hayo si mchezo; ukijastuka 2024 utakuta umegeuka umekuwa mkaa tu.
 
Nitafurahi akiandaliwa mkutano na waandishi wa habari wa huko, kama Mwendazake alivyoandaliwa kule Uganda!
 
Ataambatana na mzee wa Msoga?
 
Kwanza safari yake ni ya muhimu sana,ila to be honesty Maza atarejesha ustawi wa uchumi kwa mda mfupi Sana..

Hizi ndio safari nataka sio kwenda kwa wenye njaa Malawi Zambia nk,,Saizi Zambia wametaifisha malori yetu,Malawi wamepiga askari wetu.. maskini hana jema
 
Huna ulijuwalo, Rais kutoka common wealth lazima ujue fluently English, msihamishe magoli.

Huyo Putin anajuwa kingereza Fluently, siyo kile cha deliver your passport and we are dona kantre.
Mbona inaonekana wew ni member mwenye zaid ya miaka 11 humu Jamii forum Ila kwenye michango yako humu jukwaani Huna cha Maana unachotoa.....???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…