Rais Samia kuhudhuria na kuhutubia Baraza Kuu la 76 la Umoja wa Mataifa Jijini New York

Ngoja nione kama atawaambia wasikilizaji kuwa Demokrasia sio Coca Cola
 
Mimi issue ni wanakwenda wangapi..., kama ni yeye na wachache sio tatizo hilo ni moja ya Jon Descriptions zake..., ila kwa tabia yetu huenda kwa safari hii tozo zetu zikatumika vilivyo...
 
Huna ulijuwalo, Rais kutoka common wealth lazima ujue fluently English, msihamishe magoli.

Huyo Putin anajuwa kingereza Fluently, siyo kile cha deliver your passport and we are dona kantre.
Pumba & utumwa wa fikra, mbaya sana
 
Naipenda nchi yangu Tanzania.Proudly to be Tanzanian.
 
HUYU MAMA ANAPENDA SANA SAFARI NA SHUGHULI,ANGEKUWA MAMA WA USWAZI SIJUI ANGEKUWA ANAMPIKIA MUMEWE MUDA GANI
Hiyo ni sehem mojawapo ya kiongozi wa nchi anayejitambua bwana. Haiyumkiniki uwe na hicho cheo halafu ujifungie ndan kama cheo cha Katibu Tarafa😀
Huyo ni Rais sharti atembee akaijue dunia na duniani wamjue! Mnaanza kutuletea habr za mtu flan aliyepat hiyo fursa miaka zaid ya 5 halaf had anasepa hat wife yk na familee haik na connection ya nnjee ya nyumba😂😂😂....ety yenewe ndo nzolendo saaannaaa! Cjui inazd Nkulu Ya Butyama ambayo njje ilkuwa nachezea tu.....achen mai a2mie chansi bana!!!!
 
Mama akienda mahali haachi kuletea watoto wake zawadi.Atuletee hata greasy bear tufuge majumbani mwetu.Maupendo hayo.Mola amtangulie, inshallah!
 
Meko alikuwa anakimbia hii mikutano kwa sababu kile kingereza chake cha hapa na pale kule angegeuka kituko.
Nani alikudanganya UN unaenda kuongea kingereza tu?

Hivi hata shule ulienda kweli wewe dada ama ulikalia kupigwa miti tu ukashindwa kuelewa hata vitu vidogo kama hivi?
 
Mkuu huyo taahira haelewi ni kuachana nae ana stress Magu alimfumua halafu hakumlipa enzi zile akiwa mwalimu.
 
tunamtakia kila la heri Rais wetu mpendwa.
Tunategemea atatuwakilisha vyema.
 
Safi sana kodi za watanzania znatumika vyema na hakuna cha katiba mpya kaziendelee.
 
Kweli sasa Tanzania inawakiliswa vilivyo ktk rubaa za kimataifa.
Hongera sana Rais wetu mpendwa kwa kuipaisha Tanzania.
 
Wajameni, haya sasa ndio mambo haya...
Kuna vitu watu tulisema, japo tulibezwa sasa vinatokea na vinajidhihirisha.
Hapa nilisema kitu kuhusu Tanzania ya Samia compared na Tanzania ile. Tunakwenda kuwa na Tanzania nzuri na Tanzania Njema kuliko Tanzania ile.
Hongera sana Mama Samia

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…