Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

Ndo available hijab 🧕 1

sasa ndo sheikh ikitokea kamuelewa akamtongoza ingekuwaje?
Haya mwamba na hijab yake tumbo la kuhara limemshika atakwenda choo gani.kwani usalama wa kike hamnaa.basi angevaa hata NINJA.
😃😃😃😃
Hpo afya imechekiwa kwanza hivyo tumbo kuvuruga sahau. Sheikh kumtokea anatokea wapi ndani ya room la wamama?
 
Kwanza ninaulizatu wewe mleta mada kwani wao wameshakubali kwamba yule ni mwanaume? Wanaweza wakakataa kama sio mwanaume. Sijui utapeleka wapi hizo Hadithi zako
 
Naona ni mfupa tumepewa tupambane nao kama kawaida yetu. Sitaki kuamini kwamba jamaa na mustach wake aliwaza asingeonekana na kuna watu kibao anaswali nao wanamtazama, nia ni aonekane ipatikane mada ya kutrend na imefanikiwa sababu watanganyika tupe point tu, maelezo tunayo.
 
Unasema yote hayo kwa manufaa ya nani?
Kama kulikua na tishio la kiusalama kwanini aende?
Hakuna haja ya kutafuta maelezo lukuki. Hata hao walioratibu wamemkosea maana kama ukimvisha mwanaume nguo za kike na watu wakajua sio mwanamke huo mpango umekua butu.
 
Kuna faida gani wa kurecruit watoto wa kike kwenye kazi za usalama?
Duniani kote wanalijua hili kwamba,wanawake mia Moja hawawezi toa suluhisho la jambo bila busara ya mwanaume japo Moja.

Fuatilia taasisi zote za serikali duniani zenye idadi kuubwa ya wanawake,lazima pachomekwe wanaume angalau watatu.
 
Assalamu 'alaikum. Kwa mujibu wa mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.), wanaume na wanawake wanasali katika sehemu tofauti wakati wa ibada katika msikiti. Hii ni kwa sababu ya mambo ya utaratibu na adabu katika ibada.

Kuhusu mavazi, Mtume (s.a.w.) ameamuru wanaume wavae kanzu au nguo ndefu zinazofunika kiganja na magoti. Wanawake wamekwishaelekezwa kuvaa hijab, yaani kufunika vichwa, nyuso na mabega yao wakati wa ibada. Hii ni kwa ajili ya heshima na adabu katika kuabudu.

Hivyo basi, wanaume na wanawake wanasali katika sehemu tofauti, na wanaume wanavaa kanzu au nguo ndefu wakati wa ibada, wakati wanawake wanavaa hijab. Haya ni mafundisho yaliyotolewa na Mtume Muhammad (s.a.w.) kwa ajili ya uadilifu na utaratibu wa ibada.
Nyongeza: aslani abadani ni haramu kwa mwanaume yeyote kujigeuza kuwa mwanamke (kufanana) kwa kuvaa au kujipamba/kujiremba. Mfano mwanaume kuvaa gauni, kanga/kitenge, juba, nikabu, nk. Mwanaume kutumia mapambo ya kike km bangili, hereni, kutoboa pua na kuweka vipini, kutumia lipstick, KUVAA VITO VYA DHAJABU nk.
 
Hayo ni machaguo tu, kama ulivyochagua wewe kulalia kitanda cha chuma, badala la kulalia kitanda cha mbao.
Underline "mihemko" kwenye uwasilishaji wa mleta uzi na mimi nipo hapo kwenye mihemko kati yake na wanaohoji: nani kahemka: yeye, hao wanaohoji au yeye na wao?
 
. Hizo nyumba za ibada zimeazishwa na nani kwani 🤔🤔 ??

. Wapi huko umeona nyumba ya ibada imejengwa na mungu??


. Mbona liko wazi hili, nchi za wezetu security ipo juu zaidi kuliko huko black continent. Kwa usalama unahaki ya kufanya kila namna kuona Rais anakuwa salama iwe ibadani au sehem nyingine za kazi.
Kwahiyo sio nyumba ya Mungu tena? Mpaka ajenge Mungu physical ndio inakuwa ya Mungu?
 
Wewe hujielewi yaani ni sawa mwanaume kuvaa hijab na kijifanya mwanamke na kuingia msikitini kweli??
Sijielewi Kivipi mkuu...

Huo mskiti una umuhimu gani mbele ya kiongozi wa nchi??


Rais anatakiwa alindwe kwa kutumia mbinu zozote zile.
 
Duu hii kali ya mwaka kwa hiyo mwana akapiga hijab aisee huu ni udhalilishaji wa dini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom