Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo kikuu jiji la Arusha.
Ambapo siku ya kesho Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma.
Ambapo leo hii baada ya kutoka Nchini kenya ametua kwa kishindo katika uwanja wa KIA na kupokelewa kwa mapokezi mazito na wakuu wawili wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.Ambapo katika Mapokezi hayo Alikuwepo pia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.
Ambaye alionekana kuwa mwenye tabasamu , unyenyekevu na mtulivu wakati wote wa mapokezi hayo ya Amiri Jeshi Mkuu wetu. ambaye ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani.lakini pia ndio kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi na bora Duniani Kwote katika kumuepusha mwanamke na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia ,ambayo yamekuwa na athari kubwa sana kiafya na kimazingira.
Kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri hotuba nzito na ya kusisimua itakayotolewa na Rais huyu Mwenye uhodari mkubwa wa kutoa hotuba kama ilivyo kwa akina Barack Obama au Michell Obama au Hillary Clinton wa Marekani. Rais huyu mwenye kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania anatua katika jiji la Arusha ikiwa ni siku chache tokea atoe maagizo mazito sana yaliyo itetemesha Arusha na kanda ya kaskazini.
baada ya kutoa maagizo yaliyomaliza mgomo na maandamano ya Wamasai na kuwaacha wakiwa wenye furaha na tabasamu huku wakiruka ruka juu kwa furaha na shangwe kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa usikivu wake,utu , uungwana na moyo wa upendo kwa watanzania wote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.