Rais Samia kuitetemesha kwa kishindoo Arusha Kesho

Sababu chanya ya rais Samia Hassan kujitwisha kichwani sakata lilioibuka Nyikani Ngorongoro moto unaweza kusamba Tanzania yote, hivyo kuna ulazima kwenda yeye mwenyewe Arusha kama alivyokwenda Kizimkazi au hii safari ya sasa ya Nairobi leo hii :

Gen Z wa Kenya ilivyomfanya rais wa Jamhuri ya Kenya mheshimiwa Dr. William Ruto kujisahihisha kwa kuwa msikivu asiyeziba masikio kusikiliza maoni ya Gen Z

1724783363667.png
 
Wamasai hoyeee
 
Attachments

  • 5807476-1ff68b6d15215a707098878e4bc0d8a7.mp4
    48.1 MB
Hadi kipindi hicho atakuwa amewafanyia watanganyika nini? Au ni kuuza raslimali zetu?
Hili la kuuza mnalisema sana lakini huku nafsi zenu zikiwasuta kwamba mnadanganya, na hapa ndipo mnapothibitisha udhaifu wa udini mlionao,

Hivi kweli kuna mtu awaye yeyote anaweza kuuza mali ya inchi?
Kwa weledi nahaki kabisa mseme
 
Shanta kanunua maeneo Bei ya Bure.
 
H
Ukizunguuka mitaani unaweza hisi labda hizi sifa za mitandaoni na kwenye vyombo vya habari anapewa kiongozi wa nchi nyingine.

Samia mtaani hakubaliki kabisa. Hali sio shwari, vitu vimepanda bei kusiko tegemewa. Kama kweli anaipenda nchi hii basi ni vyema akakaa pembeni kumpisha mtu mwingine aongoze nchi
Hata Mwashambwa anajua ila anajikaza kisoap tu.
 
Hili la kuuza mnalisema sana lakini huku nafsi zenu zikiwasuta kwamba mnadanganya, na hapa ndipo mnapothibitisha udhaifu wa udini mlionao,

Hivi kweli kuna mtu awaye yeyote anaweza kuuza mali ya inchi?
Kwa weledi nahaki kabisa mseme
Ndiyo! Bunge halijaidhinisha matumizi ya kununua pikipiki za kila kata na jumuia zake. CCM haina pesa za kufanya hivyo pia. Na president ni mshahara wake ndo umenunua pikipiki hizo? Na kulipia magoli ya Yanga na Simba? Tuna mashaka!
 
Eti nini?!
CCM ina pesa kuliko serikali, kwa taarifa yako ccm wana vitega uchumi kuliko chama chechote africa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo kikuu jiji la Arusha.

Ambapo siku ya kesho Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma.

Ambapo leo hii baada ya kutoka Nchini kenya ametua kwa kishindo katika uwanja wa KIA na kupokelewa kwa mapokezi mazito na wakuu wawili wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.Ambapo katika Mapokezi hayo Alikuwepo pia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.

Ambaye alionekana kuwa mwenye tabasamu , unyenyekevu na mtulivu wakati wote wa mapokezi hayo ya Amiri Jeshi Mkuu wetu. ambaye ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani.lakini pia ndio kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi na bora Duniani Kwote katika kumuepusha mwanamke na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia ,ambayo yamekuwa na athari kubwa sana kiafya na kimazingira.

Kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri hotuba nzito na ya kusisimua itakayotolewa na Rais huyu Mwenye uhodari mkubwa wa kutoa hotuba kama ilivyo kwa akina Barack Obama au Michell Obama au Hillary Clinton wa Marekani. Rais huyu mwenye kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania anatua katika jiji la Arusha ikiwa ni siku chache tokea atoe maagizo mazito sana yaliyo itetemesha Arusha na kanda ya kaskazini.

baada ya kutoa maagizo yaliyomaliza mgomo na maandamano ya Wamasai na kuwaacha wakiwa wenye furaha na tabasamu huku wakiruka ruka juu kwa furaha na shangwe kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa usikivu wake,utu , uungwana na moyo wa upendo kwa watanzania wote.View attachment 3080817

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Poteza tu kodi zetu...bora angebaki tu huko kizimkazi milele
 
Tatizo lako wewe bado mchanga sana ndani ya chama, niko CCM tangu 1995 nakuhakikishia yajayo yatawashangaza sana watu wa aina yako. Tunakwenda kuwa na vita ndani ya chama huku tukikabiliana na machungu ya wapiga kura, hali itakuwa si nzuri sana.
Sasa ivi pesa inayotoka kwa uhakika ni mishahara tu! Mwanzo wa mwaka wa fedha
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo kikuu jiji la Arusha.

Ambapo siku ya kesho Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma.

Ambapo leo hii baada ya kutoka Nchini kenya ametua kwa kishindo katika uwanja wa KIA na kupokelewa kwa mapokezi mazito na wakuu wawili wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.Ambapo katika Mapokezi hayo Alikuwepo pia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.

Ambaye alionekana kuwa mwenye tabasamu , unyenyekevu na mtulivu wakati wote wa mapokezi hayo ya Amiri Jeshi Mkuu wetu. ambaye ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani.lakini pia ndio kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi na bora Duniani Kwote katika kumuepusha mwanamke na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia ,ambayo yamekuwa na athari kubwa sana kiafya na kimazingira.

Kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri hotuba nzito na ya kusisimua itakayotolewa na Rais huyu Mwenye uhodari mkubwa wa kutoa hotuba kama ilivyo kwa akina Barack Obama au Michell Obama au Hillary Clinton wa Marekani. Rais huyu mwenye kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania anatua katika jiji la Arusha ikiwa ni siku chache tokea atoe maagizo mazito sana yaliyo itetemesha Arusha na kanda ya kaskazini.

baada ya kutoa maagizo yaliyomaliza mgomo na maandamano ya Wamasai na kuwaacha wakiwa wenye furaha na tabasamu huku wakiruka ruka juu kwa furaha na shangwe kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa usikivu wake,utu , uungwana na moyo wa upendo kwa watanzania wote.View attachment 3080817

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
LGBT
 
Sasa ndio umeandika nini hapa? Au umelewa gongo?
Ila mkuu unatumia nguvu nyingi sana.

Kwani taaluma yako ni nini?

Jikite na kutumia nguvu zaidi kwenye taaluma yako.

Hata kama hutaona manufaa sasahivi(depending on your professional), basi tumia taaluma yako kama unayo kwa manufaa ya next generations.

Elekeza nguvu nyingi kwe mambo ya msingi.

Ni hayo tu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anakwenda kuitetemesha kwa kishindo kikuu jiji la Arusha.

Ambapo siku ya kesho Rais wetu Mpendwa anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji wakuu wa taasisi za umma.

Ambapo leo hii baada ya kutoka Nchini kenya ametua kwa kishindo katika uwanja wa KIA na kupokelewa kwa mapokezi mazito na wakuu wawili wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.Ambapo katika Mapokezi hayo Alikuwepo pia Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara.

Ambaye alionekana kuwa mwenye tabasamu , unyenyekevu na mtulivu wakati wote wa mapokezi hayo ya Amiri Jeshi Mkuu wetu. ambaye ni miongoni mwa wanawake mia moja wenye ushawishi zaidi Duniani.lakini pia ndio kinara wa kupigania matumizi ya nishati safi na bora Duniani Kwote katika kumuepusha mwanamke na matumizi ya kuni na mkaa katika kupikia ,ambayo yamekuwa na athari kubwa sana kiafya na kimazingira.

Kwa hiyo tukae kwa kutulia tusubiri hotuba nzito na ya kusisimua itakayotolewa na Rais huyu Mwenye uhodari mkubwa wa kutoa hotuba kama ilivyo kwa akina Barack Obama au Michell Obama au Hillary Clinton wa Marekani. Rais huyu mwenye kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania anatua katika jiji la Arusha ikiwa ni siku chache tokea atoe maagizo mazito sana yaliyo itetemesha Arusha na kanda ya kaskazini.

baada ya kutoa maagizo yaliyomaliza mgomo na maandamano ya Wamasai na kuwaacha wakiwa wenye furaha na tabasamu huku wakiruka ruka juu kwa furaha na shangwe kumshukuru na kumpongeza Rais wetu mpendwa kwa usikivu wake,utu , uungwana na moyo wa upendo kwa watanzania wote.View attachment 3080817

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umeandika kichawa chawa sana sheh
 
Back
Top Bottom